Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
ikulu shidaaaaNaona siku hizi Balozi wa Marekani amekumbuka kuna Wizara ya mambo ya nje, zamani kila jambo alikuwa anakimbilia Ikulu!
ikulu shidaaaaNaona siku hizi Balozi wa Marekani amekumbuka kuna Wizara ya mambo ya nje, zamani kila jambo alikuwa anakimbilia Ikulu!
uko sahihi....lazima tujenge nidhamu kwanzaHatakama mtu kakusaidia toka mtoto na haujafanikiwa unadhani hadi uzeeni utaendelea kutegemea misaada!!?
Tatizo letu kubwa haikuwa kwenye misaada bali ufujaji wakile tunapata.
Hawagawi sadaka hao ni uwekezaji kwa manufaa yao, kuweka misingi thabiti ni jambo la msingi kwa ustawi wa nchi.
sipingani na wewe. Ila hata wewe umeangalia angle moja tu kama aliyekutangulia.Mkuu kwa mtizamo wangu kulingana na huo ushabiki wako, naomba niseme hujui kitu kuhusu hii Dunia sasa inaelekea wapi na kwanini inaelekea huko.
Utanisamehe kama nitakukwaza ila kwa hii issue kubali kataaa hujui lolote about this World na proof yake ni hiyo thread uliyoanzisha siku hiyo. Wewe kutoka katika hiyo minyororo hutaweza kamwe mpaka utapokuwa na fikra huru ambazo hazihitaji kuegemea popote.
Viongozi wa Africa wapo katika trap ambayo hawataweza kutoka kamwe kulingana na uroho wao wakujilimbikizia mali na anasa zisizo na msingi. Ila unafiki umewajaa sana. Mfano ni issue ya Gaddafi uliyotaja? Nikufunue zaidi hebu fuatilia kwa kina Blueprints za Hitler hope unamjua vizuri tuu na uweke kando media propaganda.
Nyerere na Sikoine walishindwa policies za WB na IMF itakuwa siye kwa sasa na ambavyo washapandikiza watu wao vya kutosha. Hatuwezi ku extract chochote siye mkuu , We need them.
Najua utakuja na hoja laini that Mchina yupo, sababu hujui ni kwanini China ipo hivyo mpaka sasa. Remember nchi zote za Asia na hizi zingine katika mabara zinazoibuka ni plan B ya hao wakubwa. China unapotegemea hakuna technolojia makini zaidi ya high end za copy and paste.
Mtu ukishajiaminisha kuwa bila misaada huwezi kuendekea , hiyo mindset kuiondoa ni ngumu sana.Mkuu kwa mtizamo wangu kulingana na huo ushabiki wako, naomba niseme hujui kitu kuhusu hii Dunia sasa inaelekea wapi na kwanini inaelekea huko.
Utanisamehe kama nitakukwaza ila kwa hii issue kubali kataaa hujui lolote about this World na proof yake ni hiyo thread uliyoanzisha siku hiyo. Wewe kutoka katika hiyo minyororo hutaweza kamwe mpaka utapokuwa na fikra huru ambazo hazihitaji kuegemea popote.
Viongozi wa Africa wapo katika trap ambayo hawataweza kutoka kamwe kulingana na uroho wao wakujilimbikizia mali na anasa zisizo na msingi. Ila unafiki umewajaa sana. Mfano ni issue ya Gaddafi uliyotaja? Nikufunue zaidi hebu fuatilia kwa kina Blueprints za Hitler hope unamjua vizuri tuu na uweke kando media propaganda.
Nyerere na Sikoine walishindwa policies za WB na IMF itakuwa siye kwa sasa na ambavyo washapandikiza watu wao vya kutosha. Hatuwezi ku extract chochote siye mkuu , We need them.
Najua utakuja na hoja laini that Mchina yupo, sababu hujui ni kwanini China ipo hivyo mpaka sasa. Remember nchi zote za Asia na hizi zingine katika mabara zinazoibuka ni plan B ya hao wakubwa. China unapotegemea hakuna technolojia makini zaidi ya high end za copy and paste.
Mtu ukishajiaminisha kuwa bila misaada huwezi kuendekea , hiyo mindset kuiondoa ni ngumu sana.
Sasa hata Korea Kaskazini inaendeleaje from a non nuclear state to a world threat kwa miaka zaidi sabini?
Tatizo lako kubwa hujui kuwa hata copy and paste ni teknolojia tosha ambayo hata Marekani imeitumia kuendeleza armaments industry yake toka ujerumani baada ya vita kuu ya pili.
Na industrial espionage msingi wake ni copy and paste, hivyo basi in that respect you are seriously lacking.
Yes misaada na mikopo endelevu inasaidia, lakini misaada na mikopo ya kijinga na yenye masharti ya kudhalilisha nchi ni no!
Mtu unsjidai kujua world trends lakini you are seriously lacking in taste and tact.
Juzi Kenyatta ametukanwa vibaya na Mama Merkek akijidhalilisha kuomba misaada.
Aibu hiyo Tanzania hatutaki.
sipingani na wewe. Ila hata wewe umeangalia angle moja tu kama aliyekutangulia.
another angle of perspective in today's world ni suala zima la usalama wa dunia na haya matukio yanayojitokeza kila siku.
Kwa marekani pia Tz ni strategic partner from geographical to political position. Yeye mmarekani pia si km vile alivyokuwa anawababaisha akina nyerere, leo hii he needs as many partners as possible.
Kwa sababu hiyo misaada have never been for our development but for their own interests. Wanampa Egypt a lot of money, Saudi Arabia nk wala si kwa maendeleo.
Hivyo amini punde si punde watarudisha misaada ya MCC na zaidi ya hiyo. Afterall na wao watapima km reaction yenyewe ya CUF haitahatarisha amani hawatakuwa na sababu ya kuzidi kuonyesha wao wana uchungu kuliko wananchi.
acha kukatisha tamaa,,hakuna kinachoshindikana,, au na ww ni US puppet?!
Chezea Magufuli nidhamu itarudi tu polepole pole.Naona siku hizi Balozi wa Marekani amekumbuka kuna Wizara ya mambo ya nje, zamani kila jambo alikuwa anakimbilia Ikulu!
Pole sana, inaelekea wala hujui what goes on under the carpet.Wewe ndo wale wale tuu, lini Marekani imekupa msaada kwa mashariti ya kukudharirisha, yani wanakwambia sheria ya cybercrime irekebishwe wewe unasema amekudhalilisha? halafu ni wapi me umeona nimeongelea misaada? Anyway nambie ni nchi ipi imeendelea au iliedelea bila kupewa misaada? Hizo ngonjera acheni kuhubiri hapa tunataka uhalisia.
Hebu nipe exit strategy hata mbili tuu zitazofanya Tanzania ikatae misaada na implementation yake? ukinijibu hayo maswali nitarudi tujadili kiume zaidi.
Pole sana, inaelekea wala hujui what goes on under the carpet.
Hata hivo the less you know might be good for you!
Endelea na mawazo tegemezi.
Mkuu wewe ni kati ya wale mliosoma sana,lakini hamjaelimika!!Wewe ndo wale wale tuu, lini Marekani imekupa msaada kwa mashariti ya kukudharirisha, yani wanakwambia sheria ya cybercrime irekebishwe wewe unasema amekudhalilisha? halafu ni wapi me umeona nimeongelea misaada? Anyway nambie ni nchi ipi imeendelea au iliedelea bila kupewa misaada? Hizo ngonjera acheni kuhubiri hapa tunataka uhalisia.
Hebu nipe exit strategy hata mbili tuu zitazofanya Tanzania ikatae misaada na implementation yake? ukinijibu hayo maswali nitarudi tujadili kiume zaidi.
Mkuu wewe ni kati ya wale mliosoma sana,lakini hamjaelimika!!
Common sense must prevail!
Kwa mtu kama wewe ambaye uko resigned to a life of subjugation, domination and believing in the notion of not being able to alleviate your lifes destiny in terms of self reliancy, no enlightment will help you.Hii ni dalili ya mtu aliyeshindwa kutoa hoja ya maana, nimekuuliza maswali hapo juu badala ya kujibu wewe unakimbilia habari za kusoma. Haya amini unavyoamini nami nitaamini ninavyoamini ila mwisho wa siku muda ndo utasema.