Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,273
- 47,496
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi.
Javad anasema ajali hii ni matokeo ya vikwazo vya muda mrefu vya Marekani ambavyo vinawazuia kupata ndege/ helicopter na vipuri vyake na kwamba tukio la ajali hii litasajiliwa kama uhalifu mwingine wa Marekani dhidi ya raia wa Iran.
Kumbe huwa tanadanganywa sana humu tunapoambiwa Iran ni wakali wa teknolojia "tech" ilihali hata vipuri vya ndege na helicopter vimewashinda.