Marekani yaikamata ndege ya Rais Maduro wa Venezuela

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
8,617
13,824
Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo.

Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake.

Inaua sana kila nchi lakini wengine wakifanya hivyo huitwa magaidi.

Leo imeteka ndege ya raisi mzima wa nchi ya Venezuela kisingizio kikiwa ndege hiyo ilipatikana kimakosa.

===========

The United States has seized Venezuela President Nicolas Maduro’s airplane after determining that its acquisition was in violation of US sanctions, among other criminal issues. The US flew the aircraft to Florida on Monday, according to two US officials.

It’s the latest development in what has long been a frosty relationship between the US and Venezuela, and its seizure in the Dominican Republic marks an escalation as the US continues to investigate what it regards as corrupt practices by Venezuela’s government.

The plane has been described by officials as Venezuela’s equivalent to Air Force One and it has been pictured in previous state visits by Maduro around the world.

“This sends a message all the way up to the top,” one of the US officials told CNN. “Seizing the foreign head of state’s plane is unheard-of for criminal matters. We’re sending a clear message here that no one is above the law, no one is above the reach of US sanctions.”

In a statement, Attorney General Merrick Garland said that “the Justice Department seized an aircraft we allege was illegally purchased for $13 million through a shell company and smuggled out of the United States for use by Nicolás Maduro and his cronies.”

The plane was purchased from a company in Florida, the Justice Department said, and was illegally exported in April 2023 from the United States to Venezuela through the Caribbean.

The plane, which is a Dassault Falcon 900EX, has since been used to fly “almost exclusively to and from a military base in Venezuela,” the Justice Department said, and has been used for Maduro’s international travels.

CNN has reached out to the Venezuelan Government and the US State Department for comment.

The situation in Venezuela has had implications for US politics as millions flee the country, many of whom have chosen to migrate to the US-Mexico border.

For years, US officials have sought to disrupt the flow of billions of dollars to the regime. Homeland Security Investigations — the second largest investigative agency in the federal government — has seized dozens of luxury vehicles, among other assets, heading to Venezuela.

“The plane was seized in violation of US sanctions with Venezuela and other criminal matters that we’re still looking at regarding this aircraft,” Anthony Salisbury,
Special Agent in Charge, Homeland Security Investigations told CNN.

The plane had been in the Dominican Republic in recent months. US officials didn’t disclose why, but it presented an opportunity for US officials to seize the aircraft.
Multiple federal agencies were involved in the seizure, including Homeland Security Investigations; Commerce agents, the Bureau of Industry and Security; and the Justice Department.

US officials worked closely with the Dominican Republic, which notified Venezuela of the seizure, according to one of the US officials.

One of the next steps, upon arriving to the US, will be pursuing forfeiture, meaning the Venezuelan government has a chance to petition for it, and collecting evidence from the aircraft.

The US recently placed pressure on the Venezuelan government to “immediately” release specific data regarding its presidential election, citing concerns about the credibility of strongman leader Maduro’s victory.

Earlier this year, the US reimposed sanctions on Venezuela’s oil and gas sector in response to the Maduro government’s failure to allow “an inclusive and competitive election” to take place.

After the controversial reelection of Maduro on July 28, Venezuela suspended commercial flights to and from the Dominican Republic.

Federal agencies, including HSI, have long been going after the Venezuelan government over corruption concerns. Over recent years, HSI has disrupted $2 billion worth of the Venezuelan government’s illicit proceeds or resources, including judgements, seizures, liquidation of bank accounts, according to one of the US officials.

In March 2020, the US Department of Justice charged Maduro, together with 14 current and former Venezuelan officials, with narco-terrorism, drug trafficking and corruption.

“For more than 20 years, Maduro and a number of high-ranking colleagues allegedly conspired with [Colombian left-wing guerrillaa] the FARC, causing tons of cocaine to enter and devastate American communities.,” then-Attorney General William Barr said at the time.

The State Department’s Bureau of International Narcotics and Law Enforcement Affairs has offered a reward of up to $15 million for information leading to Maduro’s arrest or conviction.

In 2017, two nephews of Maduro’s wife Cilia Flores were sentenced to 18 years in prison by a federal court in New York City for trying to smuggle up to 800 kilograms of cocaine into the United States on a private jet; the two were later released by the United States in a prisoners’ exchange in 2022.

“We see these officials and the Maduro regime basically fleecing the Venezuelan people for their own gain,” the US official said. “You have people who can’t even afford a loaf of bread there and then you have the president of Venezuela jetting around in a high-class private jet.”

Poor economic conditions, food shortages and limited access to health care have pushed more than 7.7 million people to flee Venezuela, marking the largest displacement in the Western Hemisphere.

US seizes Venezuela President Nicolas Maduro’s airplane in the Dominican Republic

CNN
 
Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo.
Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake.
Inaua sana kila nchi lakini wengine wakifanya hivyo huitwa magaidi.
Leo imeteka ndege ya raisi mzima wa nchi ya Venezuela kisingizia kikiwa ndege hiyo inatumika vibaya.

US seizes Venezuela President Nicolas Maduro’s airplane in the Dominican Republic

Unafahamu vizuri Kiingereza? Mbona hujaeleza kwa nini USA imechukua uamuzi huo?

Utawala wa kidikteta wa Maduro umewafanya wananchi zaidi ya milioni moja kuwa wakimbizi. Kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na Serikali ya Maduro, USA iliamua kuiwekea vikwazo Venezuela. Lakini zikafanyika njama za kukwepa vikwazo, na kampuni moja ya US ikaamua kufanya biashara na Venezuela. Hivyo ilichofanya USA ni sahihi kabisa kwani ni sehemu ya kuhakikisha maamuzi ya kuiwekea vikwazo vya biashara Venezuela yanaheshimiwa.

Katika uhalisia, pamoja na mapungufu ya hapa na pale, USA na nchi za Ulaya Magharibi, ndiyo mataifa pekee yanayotegemewa kuwa walinzi wa wananchi wote wanaoonewa na kudhulumiwa na tawala dhalimu Duniani. Ndiyo maana wakimbizi wenye uwezo, wanaokimbia tawala dhalimu, kuanzia mataifa ya Kiarabu, Afrika, Asia na Ulaya Mashariki, wanakimbilia kwenye mataifa hayo. Waarabu wanaoonewa na waarabu wenzao huwezi kusikia wanakimbilia kwa waarabu wenzao, wote wanakimbilia Ulaya, labda wakose uwezo wa kufika huko.
 
Msikilize RFK akizungumzia vita ya Ukraine na urusi utaelewa anachokipigania USA sio demokrasia bali ni maslahi ya mataikuni wachache waliopo kwenye biashara za mafuta na siraha
 
Hii comment yako umeiandika kama vile umekatwa kichwa,

Watu kama wewe mmeshakua Brainwashed,hata mfahamishwe vipi,hamuwezi kukubaliana na ukweli halisi,

Machafuko mengi Duniani sababu kuu ni hao hao ambao wewe eti unawaona ni watetezi!

What a Rubbish.
 
Unafahamu vizuri Kiingereza? Mbona hujaeleza kwa nini USA imechukua uamuzi huo?

Utawala wa kidikteta wa Maduro umewafanya wananchi zaidi ya milioni moja kuwa wakimbizi. Kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na Serikali ya Maduro, USA iliamua kuiwekea vikwazo Venezuela. Lakini zikafanyika njama za kukwepa vikwazo, na kampuni moja ya US ikaamua kufanya biashara na Venezuela. Hivyo ilichofanya USA ni sahihi kabisa kwani ni sehemu ya kuhakikisha maamuzi ya kuiwekea vikwazo vya biashara Venezuela yanaheshimiwa.

Katika uhalisia, pamoja na mapungufu ya hapa na pale, USA na nchi za Ulaya Magharibi, ndiyo mataifa pekee yanayotegemewa kuwa walinzi wa wananchi wote wanaoonewa na kudhulumiwa na tawala dhalimu Duniani. Ndiyo maana wakimbizi wenye uwezo, wanaokimbia tawala dhalimu, kuanzia mataifa ya Kiarabu, Afrika, Asia na Ulaya Mashariki, wanakimbilia kwenye mataifa hayo. Waarabu wanaoonewa na waarabu wenzao huwezi kusikia wanakimbilia kwa waarabu wenzao, wote wanakimbilia Ulaya, labda wakose uwezo wa kufika huko.
Non sence yasn marekani alinde usalama wa wananchi ambao sio wa marekani never,arekani huingiza pua zake kila sehem anapohosi maslahi uake uanapotea. Angalia lobya, iraw, quawait
 
Msikilize RFK akizungumzia vita ya Ukraine na urusi utaelewa anachokipigania USA sio demokrasia bali ni maslahi ya mataikuni wachache waliopo kwenye biashara za mafuta na siraha
Hawezi kukuelewa huyo wala kuukubali ukweli,

Sanction against Venezuela haikuanza kwenye utawala wa Maduro tu,toka hata wakati nchi inatawaliwa na Hugo Chavez.
 
Akina Maduro hao ni watu bogus kabisa ni watu wa kuiba kura tu ili watawale maisha huku hakuna cha maana wanachowafanyia wananchi wao.

Sasa nchi imejaa mafuta lakini ni nchi maskini ya kutupwa kwa sababu tu ya dikteta Maduro kutaka yeye ndiye atawale kinyume na matakwa ya wananchi wake. Bure kabisa.
 
Maduro alishinda uchaguzi kwa 51% dhidi ya mpinzani wake mkuu Edmundo Gonzalez aliyepata kura 44%

Kwa akili yako US anafanya yote hayo kwa kuwapenda Wavenezuela? Na vipi sanction wakati wa utawala wa Hugo Chavez?

US hua anaangalia maslahi yake tu,

Wewe unayeendeshwa na mahaba nuie huwezi kuelewa hivi vitu zaidi ya ushabiki wa kijinga.
 
Back
Top Bottom