Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Wewe acha uongo bwana, Yemen ina kasi gani ya maendeleo na wana nini cha kusababisha hiyo kasi. Kweli dini ni mbaya kushinda bangi.
Natamanigi kuwaona hao watu wanaoandikaga hivi… yaani Yemen iizidi maendeleo Tanzania
 
Wewe acha uongo bwana, Yemen ina kasi gani ya maendeleo na wana nini cha kusababisha hiyo kasi. Kweli dini ni mbaya kushinda bangi.
Nimekuambia fuatilia takwimu za kuanzia 2021 kuja 2024.
Tatizo lako kijana unapenda kuleta mambo ya udini ilhali mimi nimeelezea uhalisia.
Hivi unajua kabla ya Yemeni kuingia katika vita 2014 walikua wametuzidi????
Yemeni wana wasomi wazuri,wanasayansi wazuri katika kila nyanja.
Wewe Tanzania wahandisi wako hata kupaka vigae barabarani wanashindwa.
KATIZAME TAKWIMU NDIO UJE UBISHANE.
ACHA MIPASHO KM MUIMBA TAARABU.
 
Natamanigi kuwaona hao watu wanaoandikaga hivi… yaani Yemen iizidi maendeleo Tanzania
We na mwenzako mnaonekana shule mlikua mnafeli sana.
Umeambiwa kwa kasi ya sasa ya Yemen baada ya miaka kadhaa itakua juu ya Tanzania kiuchumi maana kabla hawajaingia katika migogoro ya madaraka walikua juu yetu kiuchumi.
Hapo umeelewa bwana mdogo?
 
Kwa namna yule jamaa wa umetumia asilimia 75 ya kifurushi alivo makini sidhani kama kuna mtu hua anaangalia hizi vidio zako
 
Kwa namna yule jamaa wa umetumia asilimia 75 ya kifurushi alivo makini sidhani kama kuna mtu hua anaangalia hizi vidio zako

Ndiyo maana tunatupia video clip na maelezo ya maandishi kwa ufupi kwa kuelewa gharama na ugumu bundle / data.

Nchi zilizoendelea huduma za intaneti inachukuliwa kwa uzito kama huduma za maji, umeme, afya na elimu.

Wanaamini 'umasikini' wa kupata habari ni hatari kama vile kukosekana huduma za maji safi, umeme wa uhakika na huduma ya afya.

Tanzania utawala wa nchi unaamini huduma ya intaneti ni kitu cha anasa na unahatarisha kuendelea uwepo wao madarakani .

“Telecommunications has long been recognised as an essential utility and the government is committed to providing access to reliable high-speed broadband for all Australians.... Source : NBN is now legally obliged to give you internet
 
We na mwenzako mnaonekana shule mlikua mnafeli sana.
Umeambiwa kwa kasi ya sasa ya Yemen baada ya miaka kadhaa itakua juu ya Tanzania kiuchumi maana kabla hawajaingia katika migogoro ya madaraka walikua juu yetu kiuchumi.
Hapo umeelewa bwana mdogo?
Wewe ni mmoja wa vilaza hata basic understanding huna, Yemen haijawahi kuwa na uchumi kuipita Tanzania, Yemen ndio nchi maskini Urabuni na imekuwa hivyo karibu miaka 100 iliyopita



Yemen ni kama Afghanstani ni vinara wa Shithole countries, hakuna kitu chochote wanachofanya cha kukuza uchumi wao ndio kwanza wanataka Wagawane nchi kuwa na Yemen Kusini.

Nchi mirungi ndio mlo na kiungo kwenye chakula itakuwaje na akili.
 
Shida unakurupuka sana kijana.
Mie sikurupuki kama wewe huwa nazungumza baada ya findings.
Hapo utaona kuna miaka Tanzania ilikua chini ya Yemeni kiuchumi.
Hapo tunazungumzia interms of GDP.
Halafu tutakuja katika suala la social developments.
Hivi unajua kuna raia wangapi wa Yemeni wamewekeza Tanzania miradi mikubwa baada ya vita?
Hivi unajua Yemen ina walim wazuri kuliko Tanzania?
Narudi sijamalza
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-13-19-16-35-35_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
    63.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-01-13-19-16-00-30_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
    64.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-01-13-19-16-01-44_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
    64.3 KB · Views: 2
Muwe mnafanya due deligence na mnavoandika, umeweka GDP ya miaka 3 tena miaka ya 90 alafu ndio unataka kuja kutetea Hoja



Hii ni chart kutoka IMF, mwaka 1990 Yemen kusini na kaskazini ziliungana GDP yao ikakua sababu ilikuwa kipindi chao cha amani, lakini kuanzia hapo kila mwaka ukuwaji wao wa uchumi ukawa unaanguka tu kuanzia mwaka 1996 hawajawahi kuizidi Tanzania GDP hadi leo na wazidi kuwa maskini kwa ujinga wao, vita ya sasa ya Yemen inamiaka zaidi ya 10, ukiangalia Data zao unaona kabisa shida zao kiuchumi zimekuwepo tu siku zote
 
Anaethibitisha kuwa ni mjinga ni mimi au wewe??
Nilichotaka kuthibitisha ni kwamba yemeni imewahi kuwa juu ya uchumi kipindi haina vita kabla yetu.
Hivi unadhani vita zilianzia mwaka 2014 tu?

Tanzania una resources kupita Yemeni ,una amani kupita Yemeni na una potentials zote kupita Yemeni lakini bado Yemeni aliwahi kupimana ubavu na wewe kiuchumi na akikaa sawa anaweza kukuzidi kiuchumi.
Halafu bado unatetea ujinga wa Kitanzania.
Hiyo 1990s tulitakiwa tuwe na uchumi kuliko taifa lolote hapa Afrika.
Ila Yemen ambayo ina mgawanyiko kila uchwao ilikuzidi kiuchumi.
ELEWA NINI NALENGA.
Na Yemen hiyo hiyo imezalisha matajiri walokuja kuwekeza huku huku Tanzania sheli za mafuta,mashule makubwa na viwanda.
Raia wa Yemen ni raia wenye uthubutu wa kutaka mabadiliko ila viongozi wanaokaa madarakani hufanya tofauti.
Nishawahi kusoma na kukaa na wale jamaa wana akili sisi ni mbumbumbu sana kwao.
Hiyo milungi hata uhindini inatumika hakuna mwarabu asiyetumia mihadarati.
 
Na ni bora wagawanyike huwenda Upande utakaoongozwa na houthi ukaendelea.
 
Unaongea nini?

Wayemen ni wajinga huwezi ukawatetea kwa kusema ni wanawekeza Tanzania, alafu wameshindwa kuwekeza kwao na kufanya pakawa na amani

Kama uliwahi kusoma na Wayemen na wakawa wana akili kukuzidi basi IQ yako ni below average.

Huwezi ukaamka asubuhi ukashambulia meli za kimataifa na za kiraia kwa makusudi na kusema unataka vita ya Gaza iishe wakati watu wako wanakufa kwa njaa na wakosa mahitaji ya msingi.

Kama unaona Yemen ni majasiri kwa kufanya jambo la kijinga na reckless,basi una matatizo ya akili.

Muwe mnajiuliza kwa nini Iran asirushe yeye hayo Makombora hadi awatume hao wa Houthi, cause ni irrational
 
Hao wana sayansi wa Yemen wamefanya nini cha ajabu sana.
 
Faiza unajua Yemen iko kwenye vita ya wenyewe na upande wa Kusini uko tayari kushirikiana na Israel na USA
Ukiona nchi ina vita ya wenyewe elewa kuwa kuna foitnah ya kutokea nje.

Hta nyumbani kukiwa na vita ya mke na mume, lazima kuna mkono au mdomo kutokea nje ya nyumba hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…