stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,701
- 5,658
Natamanigi kuwaona hao watu wanaoandikaga hivi… yaani Yemen iizidi maendeleo TanzaniaWewe acha uongo bwana, Yemen ina kasi gani ya maendeleo na wana nini cha kusababisha hiyo kasi. Kweli dini ni mbaya kushinda bangi.