Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 22,423
- 38,201
Hii habari imekuja nusu, tafadhali malizia why huyo mtoto ilifika mahali akafanya hivyo?Mtoto wa kike (8) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ford huko Detroit Michigan, Marekani amedaiwa kumuua mwalimu wake kwa kumpiga risasi.
Mwalimu huyo wa mazoezi ya viungo Jim Turner (56) alifariki dunia jana Agosti 12, 2024 baada ya mtoto huyo kumuua kwa kutumia bunduki ya baba yake aliyokwenda nayo shule.
Soma Pia:
Kwa mujibu wa taarifa, wakati wa darasa la mazoezi likiendelea mwalimu huyo alimpeleka mtoto huyo (jina linahifadhiwa) ofisini kwake, na dakika tatu baadaye risasi mbili zilisikika na kusababisha wanafunzi kupiga mayowe na kukimbia ukumbi wa mazoezi.
- Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi
- Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka
- Mwanafunzi ajiua kwa Bastola, aacha ujumbe mwili wake uchomwe moto
- Marekani: Mtoto wa Miaka 6 aliyempiga risasi Mwalimu wake kutoshitakiwa
Walinzi wa shule hiyo walifika eneo la tukio na kumkuta mwalimu Turner akiwa amekufa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya risasi kwenye paja na kifuani.