Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 464
- 1,132
Mtoto wa kike (8) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ford huko Detroit Michigan, Marekani amedaiwa kumuua mwalimu wake kwa kumpiga risasi.
Mwalimu huyo wa mazoezi ya viungo Jim Turner (56) alifariki dunia jana Agosti 12, 2024 baada ya mtoto huyo kumuua kwa kutumia bunduki ya baba yake aliyokwenda nayo shule.
Soma Pia:
Walinzi wa shule hiyo walifika eneo la tukio na kumkuta mwalimu Turner akiwa amekufa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya risasi kwenye paja na kifuani.
Mwalimu huyo wa mazoezi ya viungo Jim Turner (56) alifariki dunia jana Agosti 12, 2024 baada ya mtoto huyo kumuua kwa kutumia bunduki ya baba yake aliyokwenda nayo shule.
Soma Pia:
- Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi
- Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka
- Mwanafunzi ajiua kwa Bastola, aacha ujumbe mwili wake uchomwe moto
- Marekani: Mtoto wa Miaka 6 aliyempiga risasi Mwalimu wake kutoshitakiwa
Walinzi wa shule hiyo walifika eneo la tukio na kumkuta mwalimu Turner akiwa amekufa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya risasi kwenye paja na kifuani.