Marekani Kutuma Ndege za Nyukilia Korea Kusini

Marekani anenda Korea?

Korea kas hatoenda marekani?

Marekani ana uwezo wa kulianzisha kwako mlangoni na wala hayatamkuta kwake. Kampiga Saddam na kusambaratisha Uarabuni ilhali kwake watu wanakula bugger na pizza.
 
Unaposema adhibitiwe kabla hajamiliki bomu la nyukilia Una maana gani? Kwa kuwa jamaa tayari anamiliki na ndiyo maana marekani anarukaruka Tu hamgusi

Kufikia sasa hamna ushahidi wowote kwamba huyo mwehu ana bomu la nyuklia, hata hivyo Marekani huwa hachezei mbali naye ili kuhakikisha mikwara yote ya huyo dogo haina ukweli wowote.
 
Wewe unaamini hiyo habari ?
Source?
OSAN AIR BASE, South Korea -- Four U.S. F-22 stealth fighters flew over South Korea on Wednesday in a clear show of power against North Korea, a day after South Korea's president warned of the North's collapse amid a festering standoff over its nuclear and missile ambitions.
The high-tech planes capable of sneaking past radar undetected were seen by an Associated Press photographer before they landed at Osan Air Base near Seoul. They were escorted by other U.S. and South Korean fighter jets.
Pyongyang will likely view the arrival of the planes as a threat as they are an apparent display of U.S. airpower aimed at showing what the United States can do to defend its ally South Korea from potential aggression from North Korea.
The United States often sends powerful warplanes to South Korea in times of tension with North Korea. Last month it sent a nuclear-capable B-52 bomber to South Korea after North Korea defiantly conducted its fourth nuclear test.
The international standoff over North Korea deepened earlier this month when Pyongyang ignored repeated warnings by regional powers and fired a long-range rocket carrying what it calls an Earth observation satellite. Washington, Seoul and others consider the launch a prohibited test of missile technology.
Foreign analysts say the North's rocket launch and nuclear test put the country further along it its quest for a nuclear-armed missile that could reach the U.S. mainland.
South Korea's president on Tuesday warned North Korea faces collapse if it doesn't abandon its nuclear bomb program, an unusually strong broadside that is certain to infuriate Pyongyang.
In a speech at parliament, President Park Geun-hye said South Korea will take unspecified "stronger and more effective" measures to make North Korea realize its nuclear ambitions will result only in accelerating its "regime collapse."
Park made the speech while defending her government's decision to shut down a jointly run factory park in North Korea in response to the North's rocket launch. Pyongyang retaliated by expelling all the South Koreans there, put its military in charge of the area and cut off key communication hotlines between the Koreas.
It is unusual for a top South Korean official to publicly touch on such a government collapse because of worries about how sensitive North Korea is to talk of its authoritarian government losing power. Pyongyang has long accused Washington and Seoul agitating for its collapse.
After the rocket launch, Seoul announced that talks would begin with Washington on deploying a sophisticated U.S. missile defense system in South Korea and that the allies' annual military drills in the spring will be the biggest ever.
The deployment of the Terminal High-Altitude Area Defense, or THAAD, is opposed by North Korea, China and Russia. Opponents say the system could help U.S. radar spot missiles in other countries.
Pyongyang has also called regular U.S.-South Korea military exercises a rehearsal for a northward invasion. The allies say their drills are defensive in nature.
© 2016 The Associated Press. A
 
Marekani ana uwezo wa kulianzisha kwako mlangoni na wala hayatamkuta kwake. Kampiga Saddam na kusambaratisha Uarabuni ilhali kwake watu wanakula bugger na pizza.
Aende na russia akafanye hivyo
 
Kama angekuwa makini kwa nini alitumia hizo Nuclear kule Japan wakati wa WW II?
ilikuwa lazima Marekani itumie nyuklia kwa Japan.
Japan ilikataa kabisa kujisamilisha wakati wa vita kuu ya dunia.
Badala yake ikaishambulia tena marekani ktk bandari yake ya Hawaii "Blue Pearl Harbor ".
wajapan waliishambulia marekani Kwa staili ya kujitoa mhanga Kwa ndege, staili ambayo wajapan waliita"Kamikaze".
Ndipo marekani ikachukia na kuamua kuwatandika wajapan.
Bila kuwapiga atomic (Nyuklia) wajapan wasingesalimu amri.
walikuwa viburi mno.
Nadhani umenielewa.
 
Umeiweka sawa, nilitazama documentary kuhusu hiyo vita, aisei Mjapani ni mtu hatari sana akifanya maamuzi. Yaani marubani walikua wanajilipua mmoja baada ya mwengine ndani ya ngome za Marekani. Hapo hapakua na namna nyingine ila kuwathibiti kwa kuwapiga kwa bomu hilo.
 
mmarekani ni mvurugaji mkubwa wa amani wasipojiangalia korea kasikazini na kusini watavurugwa sana wakati ni ndugu ila uzuri wa korea kasikazini ana makombora yanayoweza kufika hadi marekani maana marekani huwa hataki vita ifike nyumbani kwake
 
Hapo lazima mmarekani kuna kitu atakuwa anakitengeneza. Na kwasababu yule dogo anapenda kucheza mziki na wakubwa sio mbaya . maisha hayawezi kwenda bila kufundishana.
 
Hapo lazima mmarekani kuna kitu atakuwa anakitengeneza. Na kwasababu yule dogo anapenda kucheza mziki na wakubwa sio mbaya . maisha hayawezi kwenda bila kufundishana.
Mbona wameshampata huyu dogo kitambo. Anamualika Denis Rodman kucheza nae basketball sijui eti washkaji wakati wazee wa Langley unawezakuta wanamtumia Rodman
 
Ni swali zuri...Marekani na mataifa yote makubwa ndivyo yalivyo...
Yaani sijui ni nani wa kuingilia kati haya mataifa makubwa yanayo tengeneza Nyuklia ,siku wakiamua kuzitumia basi ndio mwisho wa hii dunia
 
mmarekani ni mvurugaji mkubwa wa amani wasipojiangalia korea kasikazini na kusini watavurugwa sana wakati ni ndugu ila uzuri wa korea kasikazini ana makombora yanayoweza kufika hadi marekani maana marekani huwa hataki vita ifike nyumbani kwake
Korea hana kombora lenye uwezo wa kufika marekani. Ndo mana vitisho vyao marekani huwa anapuuza tu. Siku akipata kombora la aina hiyo ndo utakua mwisho wa kim jong un. Ila kwa sasa marekani anaiona korea kama mbwa anaebweka ila hana meno
 
Na kuna article nimeisoma Leo asubuhi sikumbuk mtandao ule,inasema kwamba CHINA haitajiingiza mzima mzima km walivyofanya 1950 km vta vitaibuka kt ya USA na N.Korea,wazir mmoja wa China alkua anasema Hamna sababu ya kujitolea kwa rafiki asiyeshaurika(n.Korea)maana wameishauri isitishe hzo nuclear test lkn yeye hajali
 
China amekua akimkingia kifua huyo dogo, lakini amekua na kiburi hadi hashauriki tena.
 
Back
Top Bottom