Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

Hamas ndio waliochokoza mambo na kila wakati wanafanya hivyo.

Kwamba kila kitu kimeanza Oct 7, 2023? Siwaungi mkono Hamas kwa walichokifanya Oct 7 mwaka jana lakini je kila kitu kimeanza Oct 7, 2023? Halafu Dola ya kizayuni si inapaswa kutii na kufuata sheria za kimataifa pia ikiwemo vitani?
 
Ni wajibu wa jumuia za kimataifa, ikiwemo Marekani kukemea na kulaani serikali zinazoteka na kuua wananchi wake.

Bila kujali huko Gaza pamekuwaje.

Halafu, kitendo cha Marekani sijui kuwasaidia Gaza haihalalishi serikali yetu kuteka na kuua raia, au kufumbia macho vitendo hivyo.

Nitaenda kuandamana tarehe 23.
Una uthibitisho wa Serikali kuteka?au umeambiwa na hao hao wamarekani?
 
Sawa tu...wachinjane mpake waishe, hayatuhusu....sisi tunajali roho za watanzania wanaochinjwa na watanzania wenzao
Na yeye ya Tanzania hayamuhusu, akashughulike na wanaompiga risasi Trump
 
Kwamba kila kitu kimeanza Oct 7, 2023 sio? Siwaungi mkono Hamas kwa walichokifanya Oct 7 mwaka jana lakini kila kitu kimeanza Oct 7, 2023? Halafu Dola ya kizayuni si inapaswa kutii na kufuata sheria za kimataifa pia ikiwemo vitani?
Yalianza zamani sana lakini kila wakati pakitulia Hamas wanakianzisha na wanapata majibu yao. Siungi mkono upande wowote ila naona kuna ugaidi wa kiislamu kama ak qaeda na wengine hapo.
 
Hamuoni aibu.
1.Palestina
2.IRAN
3.LEBANON
4.SIRIA
AGAINST ISREL bado anawachapa
IMG_20240921_110628.jpg
 
Na yeye ya Tanzania hayamuhusu, akashughulike na wanaompiga risasi Trump
Sasa serikali ya chama chenu ni ombaomba na serikali ya marekani ni moja ya serikali inayojaza kapu la ombaomba la serikali ya CCM....mtu anayekulisha lazima akupangie...yaani ule bure tu?
 
Mazayuni nao mbona wanalishwa na Marekani lakini haiwakemei?
 
Sasa serikali ya chama chenu ni ombaomba na serikali ya marekani ni moja ya serikali inayojaza kapu la ombaomba la serikali ya CCM....mtu anayekulisha lazima akupangie...yaani ule bure tu?
Chadema ndio omba omba, wakati akiongea upuuzi wake, chadema walikiwa wanachekacheka kama binti anayepelekwa lodge
 
Yalianza zamani sana lakini kila wakati pakitulia Hamas wanakianzisha na wanapata majibu yao. Siungi mkono upande wowote ila naona kuna ugaidi wa kiislamu kama ak qaeda na wengine hapo.
"Ugaidi wa kiislam" ila hujaona ugaidi wa kizayuni? Mazayuni kuwaprovoke wapalestina, kuvunja nyumba zao na kuwaweka walowezi wa kizayuni, kuwafunga na kuwakandamiza viongozi wao ambao wangewadhibiti Hamas? Maana viongozi wa kipalestina wanakandamizwa na mazayuni tokea Hamas bado haipo kama ilivyo. West Bank haipo katika udhibiti wa Hamas lakini kwa miaka yote mazayuni wakiwaghasi na kuwaprovoke na wakijenga makazi ya mazayuni katika ardhi zao.

Kuvuruga juhudi za amani? Ni Hamas na mazayuni wote wamekuwa wakivuruga juhudi za amani.

Cha msingi ni kuwa Dola la kizayuni linavunja sheria za kimataifa na Marekani haiikemei na wala kuichukulia hatua ijapokuwa yenyewe ndio inailisha na kuipa silaha.
 
Chadema ndio omba omba, wakati akiongea upuuzi wake, chadema walikiwa wanachekacheka kama binti anayepelekwa lodge
Si mmepewa trilioni 25 na marekani ndani ya miaka 3? Chadema anaingiaje hapa. Kama mnataka kuwachinja kwa raia wenzenu wasiokuwa na hatia bila bugudha yeyote, jaribunikujitegemea na mjitenge na jumuiya za kimataifa kama korea ya kaskazini....
 
"Ugaidi wa kiislam" ila hujaona ugaidi wa kizayuni? Mazayuni kuwaprovoke wapalestina, kuvunja nyumba zao na kuwaweka walowezi wa kizayuni, kuwafunga na kuwakandamiza viongozi wao ambao wangewadhibiti Hamas? Maana viongozi wa kipalestina wanakandamizwa na mazayuni tokea Hamas bado haipo kama ilivyo. West Bank haipo katika udhibiti wa Hamas lakini kwa miaka yote mazayuni wakiwaghasi na kuwaprovoke na wakijenga makazi ya mazayuni katika ardhi zao.

Kuvuruga juhudi za amani? Ni Hamas na mazayuni wote wamekuwa wakivuruga juhudi za amani.

Cha msingi ni kuwa Dola la kizayuni linavunja sheria za kimataifa na Marekani haiikemei na wala kuichukulia hatua ijapokuwa yenyewe ndio inailisha na kuipa silaha.

MAARABU YALIANZA MAYAHUDI YANAMALIZA.
 
Marekani anasaidia sana amani duniani na watu wanamlaumu kwasababu wanapenda kulaumu. Mfano ni huko Ukraine na Urusi angeweza tu kufanya vita iwe kubwa kama lengo lake ni vita tu.
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
unajua maisha bila unafiki hayaendi!wakati Israel anashambuliwa oct mwaka jana watu walikaa kimya!sasa analipa kisasi watu wanapiga kelele!wakati anachokozwa mlikaa kimya, now analipa kisasi mnalalamika nini??mnakua kama majuha!wewe unamrushia risasi unataka akurushie maua!!!kama huna ubavu wa kupigana usimchokoze mwenye nguvu!vitu vingine ni logic tu haihitaji kwenda shule!!
 
Huyo balozi wa marekani aache upunga
 
Hawakukaa kimya, walikuwa wanashangilia kama wale wapalestina waliokuwa wanapokea mateka wa Israel kwa nderemo na vidijo....mambo ya isreal sijui palestina ukraine ni issues zao huko, wacha waonyshane makali
 
Back
Top Bottom