Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,752
Kinahusiana na mada ndio, record ya mtu katika argument ni muhimu sana, record ya mtu katika kujenga Hoja ni muhimu sana
Mtu ambae lengo Lake ni kushinda mjadala uliopo mezani hata kwa kupika data huyo mtu hawezi kusaidia wenzie kwa Hoja zake
Nikupe mfano tu mdogo
Warusi wametengeneza portable air defense system na specifications zake zimewekwa hapo tumeziona, na wameeleza hapo kwamba bado ipo kwenye trials ikifaulu itaanza kutumika pengine 2017
Meaning Kuna hatua nyingi za majaribio zinakuja, lakini cha ajabu ndugu elungata ameenda mbele zaidi ya Warusi ameshaifaulisha majaribio hiyo silaha, ameshaipa ushindi dhidi ya ile ya marekani kana kwamba zimeenda kwenye battle field na ya urusi ikashinda
Haya ni maelezo ambayo hata watengenezaji hawajayasema sasa elungata anayatoa wapi kama sio bange ni nini?
Kwa nini upike facts kwa minajili ya kushinda mjadala wakati unapotosha?
Nilidhani pande zote za mada hii argument zetu zingeishia kwenye maelezo yaliyotolewa na watengenezaji wa silaha hizo mbili ile ya marekani na ile ya Russia lakini mtu anakwenda mbali kabisa tena akiwa na uhakika kwamba ya taifa x inaizidi ya taifa y mbali sana, kwa data zipi?
Binafsi nimeingia kwenye website ya sputniknews.com nikaisoma kwa kina taarifa ya silaha hiyo ya Russia, nikasoma specifications zake nikienda kwenye website ya the defense magazine nikasoma ile air defense ya marekani pia kama alivyochambua pastor, Silaha hizi mbili ni kitu kile kile tofauti ni design lakini specifications ni hizo hizo
Mfano zote mbili kazi yake ni kuwalinda askari wa miguu na assets zao dhidi ya cruise missiles from ships, kujilinda na mashambulizi kutoka kwenye ndege, artillery fire, drones etc
Range ni almost the same
Naomba Nikupe assignment, nenda fungua sputniknews.com na pia fungua the National interest au the defense magazine uone mwenyewe specifications za hizo silaha mbili
Sasa hivi vitu hivi viko wazi, Mtu akileta uongo wake hapa sisi tunaenda ku cross check facts and data
Tufanye mijadala yenye tija tuwasaidie wana jukwaa wote, ukiona Hoja yako inazidiwa nguvu Rudi msituni tafuta nondo zaidi tuletee tufaidike
Binafsi napenda kuwa neutral ktk international issues hasa za kijeshi hivyo nachukia sana watu wenye kuegemea upande flan iwe Russia au America
Mtu makini huwezi kushupaza shingo kila mada wewe ni kutetea upande flan hata kwa kusema uongo, as if umezaliwa taifa hilo
Sisi wasomi hatupaswi kuwa hivyo, kwanza Tunapaswa kuwa flexible, kama Russia ametengeneza deadly weapon tuseme na tujadili, pia vice versa kwa marekani
Lakini haiwezekani mtu kwa chuki zako binafsi tangu January hadi December wewe habari zote za silaha za marekani ni mbaya ila za Russia January to December ni nzuri au vice versa
Mtu wa namna hii mm huwa sifuatilii kabisa post zake au Hoja zake because you can tell what is going to say, am afraid mfano wa watu hao ni elungata, bukyanagand, Konda wa boda, na nyani ngabu na wengine
Nikwambie kitu, tunatoka kwenye background tofauti na wala usifikiri kila MTU anakimbilia kwenye search engines za mtandaoni kutafuta unacho kiita facts - we leta unacho fikiri ni facts members wana haki ya kuhamua lipi la kuamini na lipi la Ku ignore - we una mamlaka gani ya kuanza kuwa sema sema/kutaja taja majina ya baadhi ya wachangiaji kutokana na kutofautiani kimsimamo linapokuja suala la sayansi ya kijeshi nk, hapa unajifanya neutral unafikiri hatuna akili ya kuja msimamo wako, unamtumbikiza mpaka Nyani Ngabu kuzuga watu tu!!
Members wote wanao changia na wanao soma tu bila kuchangai wana reasoning capacities za kuchambanua mambo, hawaitaji a proxy fella/advocate wa kuwasemea na kibaya zaidi kujaribu kutumia lugha za majivuno na inuendoes za kitoto eti "post kama hizo ufatilii kuzisoma" kwani we nani? Unajifanya kutofatilia kuzisoma lakini una comment on them - strange, don't U think?
Sijui unasumbulia na traits gani! Kama utaki michango ya baadhi ya members, keep it 2 your goodself lakini sio una instigate members wengine wa jump/join your bandwagon iliyo jaa warped opinions na majivuno yasiyo na mantiki - try 2 revisit your unfortunate comments once again - what does that tell you about your PERSONA? Oh yes, huo ni mfano ahi wa binadamu ambao hawana confidence mara nyingi uji indulge ku attack watu bila sababu za msingi, wanatumia njia hiyo kwa kujua au kutojua ili wa compasate 4 their...., the space seems to reduce me here lakini will be back for a duel.