Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,650
- 13,915
Huku jeshi la Israel likiendelea kujichukulia maeneo ya Syria bila kukemewa na mshirika wake,Marekani.Antnthony Blinken tangu waasi wamuangushe Bashar Alassad amekuwa halali,anazunguka kama pia akitua kila nchi kushauri utawala mpya wa Syria uwe wa kuunganisha makabila na vyama vyote.
Ushauri huo hauna maana yoyote zaidi ya kiwewe kilichowapata kuwa watawala hao wanaweza kuwa mwiba kwa Israel kuliko Hizbullah.Hivyo kwa hofu hizo Marekani imekuwa ikijaribu kutoa ushauri mbaya kwa manufaa yake.
Kama viongozi wapya wa Syria wananifuata ofisini kwangu kutaka ushauri basi nitawaambia waachane moja kwa moja na demokrasia ya vyama vingi.
Kila kabila na dini anaweza kupata nafasi kulingana na ujuzi na uzoefu wake utakaombatan na uzalendo bila kuwa kibaraka wa taifa lolote la nje.Wakiacha kufuata ushauri wangu huo basi watakuwa wameruka majivu na kukanyaga moto.