Marekani Dunia anaionaje?

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,770
4,146
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo.

Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha

Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake wengine wakifanya anakemea.

Yeye anafanya baishara atakavyo- wengine wakifanya anawaekea vikwazo.

Hivi anaonaje wengine? kama hawana haki yoyote duniani?

Anasahau kulikuwa wanatawala wengi duniani wenye nguvu hivi sasa mataifa hayo yamekuwa historia tu?
 
Hii Dunia imekaa kimchongo chongo,ukitaka haki utaipata mbinguni sio hapa Duniani.
Ww angalia Israel ana silaa za nyukilia,lakini Iran wanampiga vita asiwe nazo.sasa unajiuliza kwa nini Israel aruhusiwe Iran asiruhusiwe.
 
Ndio mwisho wake huu, huoni hata Nchi za Afrika zilizojichokea huku zinamfokea huku Majeshi yake yanafurushwa.
 
Tawala za Zamani nitofauti na Tawala za Sasa hivi kusubili USA Idondoke Kwenye Tawala hii ya Dunia ya Leo Ni Bado Sanaa Sababu USA hafanyi Kitu peke yake Lazima Ashilikiane na Wenzake Haswa EU Au NATO Wazo la Mmoja ni Wazo Wa Wote Na umoja ni Nguvu
 
wakimchoka?
 
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo
Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha
Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake wengine wakifanya anakemea
Yeye anafanya baishara atakavyo- wengine wakifanya anawaekea vikwazo
Hivi anaonaje wengine? kama hawana haki yoyote duniani?
Anasahau kulikuwa wanatawala wengi duniani wenye nguvu hivi sasa mataifa hayo yamekuwa historia tu?
Hiyo ndio maana ya superpower.
 
Back
Top Bottom