mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,201
- 5,786
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Mtoa mada kauliza vizuri kwa nia njema ya kutaka kujua! Ila ulivyomshambulia ni kama vile mtu aliyekuwa anataka vita ya maneno. Mara nyingine muwe mnasoma na kuelewa na kuacha mihemuko!!