Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,308
3,231
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.

Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.

Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.

Karibu
 
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
 
GDP per capita ya China ni $13,000 wakati ya US ni $83,000.
 
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.

Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.

Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.

Karibu
Anachouza 🇹🇿
 
Pia ufahamu kuwa viwanda vingi vilivyopo China vinavyotoa quality products vinamilikiwa na makampuni ya Marekani na nchi za Ulaya. Hivyo faida inayopatikana kwenye makampuni haya, japo yapo China, bado Marekani ina sehemu kubwa ya faida.
Harafu unakutana na mburula wa Chadomo kama Heche na Lisu wanakwambia wawekezaji wanakuja kuchota Mali na uwekezaji ni kuuza Bandari na Madini 😆😆
 
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo.
Asubiri Miaka 30-50, Kama ana miaka 30 now arudi hapa kushuhudia akiwa na 60-80.
 
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Mbona umeandika kimuhemuko sana ,muuliza swali kauliza vizuri sana anataka ajue tena kawataja wachumi waje wampe majibu,ila sasa majibu yako yanaonekana jinsi ulivyo mtu wa hovyo ktk jamii ya kitanzania
 
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Cheki hili tikiti maji
 
Back
Top Bottom