You should take a look at this also, its a pretty good video on how the US became a global superpower...
Mpaka wa karibu kabisa Kati ya US au Jimbo la Alaska na urusi ni visiwa vinavypoishana kwa umbali wa km 4 tu. Unaweza kwenda us kutokea Russia hata kwa kuogelea mkuu tatizo upande wa russia Kuna baridi kali na barafu. Ni wajasiliamali wasioogopa kuchukua risk wa kirusi ndio walivuka na kupaona Alaska enzi hizo USA wanamatatizo yao mengi tu hata wazo la kuitafuta Alaska h alikuwepo. Baadae serikali ya kifalme czars wakapamiliki. Ndio maana hapo Alaska walikutana na matycoon wajasiliamali wakichina. Usione mchina anaingia hadi huko vijijini mtimibilo alianza kutafuta sehm zenye risk kitambo sana.Geographical Alska imekuwa located in north America ilikuwaje urusi wakamiliki ardhi hii kabla . Hapo naomba clarifications mkuu.
Kuna muhimili Mmoja miziz yake imejichimbia chini zaidi. Karibu chato airportNa lililo kubwa zaidi hapa la kujifunza ni roho ya UBINAFSI, umimi. Hii ni dhambi kuu kuliko zote. Mtu anaejifikiria yeye tu, familia yake tu, ukanda wake tu, dini yake tu, au kabila lake kwanza kabla ya utaifa wake, ni muhaini, adhabu yake ilipaswa kuwa kubwa zaidi ya muuaji (murderer). Mbinafsi atatengeneza ARV fake apate faida, atapokea 10% kuuza migodi, atashirikiana na adui kuiangamiza nchi, nk. Ubepari ni zao la ubinafsi. Changu badala ya chetu. Shida tupu.
Usijali kama maelezo mafupi maana wengine hatuna Kalama ya uandishi, inabidi mkuu sana The Bold aje akupe darasa humu.Nahisi kama nimekatishwa utamu hivi.!
Usijali kama maelezo mafupi maana wengine hatuna Kalama ya uandishi, inabidi mkuu sana The Bold aje akupe darasa humu.Nahisi kama nimekatishwa utamu hivi.!
Haiko mbali sana mkuu, kwa fact kuwa dunia ni Duara au globe na sio sahani kama wengine wanavyong'ang'ania Alaska na sehemu ya Russia zinaangaliana. Nakubaliana na wewe kama tusipojifunza kutokana na makosa yetu na yawengine itatuchukua millinia nyingi kujikwamua. Angalia ramani ya duniaRussia wanajuta kwa kuiuza kwa Alaska kwa USA ingawa ipo mbali na Russia yenyewe, lakini sisi tutajuta kwa kuuza nchi yetu kwa kuruhusu watu wachimbe madini na kutuachia mashimo tupu tukiwa humuhumu nchini, haya majuto yatakua majuto makubwa kwa vizazi vijavyo hadi watatamani kuwafukua toka makaburini watu walioshiriki huu uhujumu uchumi ili wawaue upya.
Usijali chief.Mkuu stori ni nzuri..ila ulitakiwa uwe more detailed sana! Hiki kisa mtu ili akipate vizuri ungeweka vinagaubaga vilivyovyanywa na vyombo vya usalama..
Tulitaka tuune mivutano iliyotekea hadi jamaa wakapata Ardhi ya alaska...
Je baada ya Russia kugundua kuwa amefanya kosa kuuza alaska kilitokea nini?
Hakukuwa na jitiahda za kuirudisha alasaka?
So far Big mkuu! Ila tia vitu zaidi
HahahahhaHivi hatuwezi kumbadili twiga mnyama nembo wetu na kumtumia mwingine ambaye ni aggressive(Hata Black mamba poa tu), mimi nahisi nchi yetu ipo kigoigoi kwa ajili ya huyu twiga. Ona wenzetu Eagle vs Siberia Bear.