Marafiki wana msaada kuliko ndugu

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
2,227
4,770
Salaam,

Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.

Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.

Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
 
Ni kweli mkuu ndio maana hata vitabu vya dini mahala vinasema mpende jirani Yako kama nafasi Yako!
 
ndugu zetu ni marafiki wa watu wengine ko wanawasaidia pia

hata sisi ni ndugu wa nduguzetu ko tuna tabia za kibwege pia

ndugu atabaki kuwa ndugu hasa kwenye nyakati ngumu mno za magonjwa na vifo

marafiki wapo kwa nyakati za raha na vishida vidogo vidogo, wenye husimama na wewe kwenye shida kubwa ni wale marafiki ambao tumesha kuwa ndugu nao.
 
Salaam,

Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.

Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.

Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Usidanganyike ndugu atabaki kuwa ndugu
 
Kubadilika ni jambo la kawaida bt hapa nimewasifia wanavyojitolea kusaidia hasa kwenye mambo ya utaftaji.
Uko sahihi mkuu,mfano Mimi mjomba wangu alitaka nimsaidie biashara zake,kweli tumeenda miaka4 siioni Faida kwangu,mbali tuu na kupata uzoefu na kula.Nikajiongeza kusoma C.B.E _Dodoma huko nikakutana na jamaa anafanya kazi kampuni flani nzuri Katika kuzoeana akawa rafiki yangu mkubwa!Kazi zikatoka wa kwanza kunitafuta ilikuwa Mimi Ahsante rafiki,Sasa Nina wajukuu.
 
ndugu zetu ni marafiki wa watu wengine ko wanawasaidia pia

hata sisi ni ndugu wa nduguzetu ko tuna tabia za kibwege pia

ndugu atabaki kuwa ndugu hasa kwenye nyakati ngumu mno za magonjwa na vifo

marafiki wapo kwa nyakati za raha na vishida vidogo vidogo, wenye husimama na wewe kwenye shida kubwa ni wale marafiki ambao tumesha kuwa ndugu nao.
Hii nayo ina shida!
Ndio maana Magufuli alimuuliza Abood wasubiri watu wafe ili uwasaidie mazishi!

Kwanini tusaidiene kote kwenye uchumi, maradhi, kesi na vifo?.

Hawatakuja kukusaidia ukiwa na kesi lakini ukifa watakuja kulia!
 
Back
Top Bottom