The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 601
- 1,303
Itafika muda raia watakuwa Wana waua police kimya kimya, wanavamia tu nyumbani kwake, wanamaliza kazi
Vita baridi
Vita baridi
We pimbi kweli kweli, mbona husemi Trump anapigwa risasi na hawajawatuhumu chama tawala wala polisi? Ma ujinga yenu kila mzinzi akishughulikiwa na wenye mali au visasi, basi mnakimbilia kulaumu serikali, wenzenu wanashirikiana kusaka wahalifu.Anatukanwa Trump ,Biden na wapo kimya hawafanyi chochote ndiyo iwe Bibi Chura? kama hawataki maoni au kutukanwa waachie ngazi simple tu mambo yasiwe mengi.
Acha asimame kama ishara ya ukombozi, kumbuka ktk ulimwengu wa roho na mwili kila mmoja kaumbwa kwa kusudi maalumHuyu jamaa baada ya kunusurika na lile sakata la kutekwa,angeshauriwa kutulia kwanza apone kimwili na hata kisaikolojia. Hana ndugu wa kumshauri?
Wewe ni MBWEHA ,aliyempiga Trump risasi ndani ya sekunde 5 naye kala chuma ,na mwingine soon kadakwa!! Mnaua watu kisa uroho tu wa madaraka ,mmetaka kumuua sativa kisa kusupport mgomo wa wafanyabiashara ,mmemuua dogo wa mbeya kisa kutomkubali Bibi Chura! Non Sense.We pimbi kweli kweli, mbona husemi Trump anapigwa risasi na hawajawatuhumu chama tawala wala polisi? Ma ujinga yenu kila mzinzi akishughulikiwa na wenye mali au visasi, basi mnakimbilia kulaumu serikali, wenzenu wanashirikiana kusaka wahalifu.
Ukiwa mfuasi wa machadema, akili zako zinakuwa sawa na za nyumbu.Wewe ni MBWEHA ,waliompiga Trump risasi ndani ya sekunde 5 naye kala chuma ,na mwingine soon kadakwa!! Mnaua watu kisa uroho tu wa madaraka ,mmetaka kumuua sativa kisa kusupport mgomo wa wafanyabiashara ,mmemuua dogo wa mbeya kisa kutomkubali Bibi Chura! Non Sense.
USA kuna vyuma vingi kuliko idadi ya watu ,so ukileta fyoko unapigwa chuma tu ,huku kwetu silaha ni maneno tu ,ukileta ujinga unakosolewa na kama hautaki kukosolewa kaa pembeni.
Na ukiwa kwenye chama cha majambazi ,hauwezi kujadili kwa hoja bali matusi tu.Ukiwa mfuasi wa machadema, akili zako zinakuwa sawa na za nyumbu.
Mimi nimecheka balaa......Sasa hv hakuna anaebet kuna maafisa ubashiriCheo kipya mjini,.. nimecheka sana
Hakuna majizi kama viongozi wenu, wapo wale wale over 20yrs!!Na ukiwa kwenye chama cha majambazi ,hauwezi kujadili kwa hoja bali matusi tu.
Ukiwa kwenye Chama Cha Majizi ,utu si kitu ,kifo ni kifo.
Hakuna majizi kama viongozi wenu, wapo wale wale over 20yrs!!
Umemsahau Mbowe alivyowauziaga mafuso na maspika mabovu kwenye kampeni akawapangisha nyumba ya mkwewe kwa miaka kibao, huoni huo wizi??Unajiaibisha mkuu ,reports za CAG kila mwaka zinatoa taarifa chama cha majizi mnavyopiga hela...hati chafu kila kona ,wizi kila taasisi mnazoziongoza.....Naona kafulila anakuja kuondoa huo Wizi maana mtakuwa mpo chini ya sector binafsi ambao hawataruhusu hata senti moja kufujwa.
No hatakiwi kutulia. Hao jamaa ni wauaji kama wauaji wengine, na lazima wenzao wa mfumo watamalizana nao tu. Muache kabisa apige kelele tena ikiwezekana akimbilie hata ubalozi wa nje ya nchi kuokoa maisha yakeHuyu jamaa baada ya kunusurika na lile sakata la kutekwa,angeshauriwa kutulia kwanza apone kimwili na hata kisaikolojia. Hana ndugu wa kumshauri?
Huu ushauri unatoka kwa mmoja wapo ya wauwaji ...wenye akili tuna tambua mambo yaliyo jificha.Huyu jamaa baada ya kunusurika na lile sakata la kutekwa,angeshauriwa kutulia kwanza apone kimwili na hata kisaikolojia. Hana ndugu wa kumshauri?
Mbona hamna sehemu kaomba msaada.Jana Mdude leo Sativa wakati wanawatukana Rais ,polisi walijiona wanaakili sana kila dk wanaposti tu na kushangiliwa leo wanaomba msaaada tuwasaidie nini ?
USSR
Tumia akili ...utajua kwanini alisema hivyo ...kama maneno yake ni uongo mbona serikali dhalimu ya samia aijamchunguza huyo mtuumiwa wala kumsimamisha kazi kipisha uchunguzi.Huyu dogo anasahau statement yake ya ya kwanza mara tu baada ya kuokotwa, alisema hawajui kabisa waliomteka, kwa sasa inaonyesha anapewa tu taarifa na watu wenye chuki na hao anaowaandama bila uhalisia.
Mshaurini aende zake US Embassy akaombe asylum......atapotezwa akimbie nchi.....Kijana mcheza kamari na afsa ubashiri ameeleza Kuwa anazidi kupokea vitisho vya kuuawa na kusema watekaji wanasema bado hawajamalizana na yeye
Bado kijna analaalmika kuwa aliyemteka na kutaka kuumua ni Acp afande Mafwele na hadi sas mamla ziko kimya bila police wala mahakama kufanyia kaz madai yake.
Ameandika:
Nimekuwa nikipokea vitisho kutoka kwa jeshi la polisi ususani afisa mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Upelelezi kanda ya Dar es Salaam ACP Faustine Jackson Mafwele. Kwamba vitisho hivi vimekuja baada ya kuwataja polisi wakiongozwa na ACP Mafwele kuhusika na tukio la utekaji dhidi yangu mwezi June 2024.
Mtakumbuka kwamba mnamo jumapili ya tarehe 23 Juni 2024 nilitekwa na kupelekwa kituo cha polisi Oysterbay ambako huko ndiko nilikomuona ACP Mafwele akiwa amevaa Kaptula na T-Shirt jezi ya Simba. Kwamba niliteswa chini ya usimamizi wa ACP Mafwele kisha nikaenda kutupwa Katavi kwenye mbuga ya wanyama na baada ya kunitupa walinipiga risasi ya kichwa kutokea kisogoni ikatokea kwenye kidevu na kuvunja taya ya kushoto upande wa chini.
Waliamini wameniua na nitaliwa na wanyama ila nikapona kwa uweza wa Mungu.Hivyo basi katika hali hiyo nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki na jumuiya ya kimataifa kwamba jambo lolote baya likinitokea mtuhumiwa wa kwanza ni ACP Mafwele pamoja na jeshi la polisi.
Katika msingi huo jeshi la polisi halitahusika na mambo yote ya uchunguzi dhidi yangu kwa sababu ni watuhumiwa. Tukio lolote baya dhidi yangu litahitaji uchunguzi huru nje ya jeshi la polisi huku wakili wa familia akihusika kila hatua ya uchunguzi huo.
Tetesi zinasema yupo KenyaMshaurini aende zake US Embassy akaombe asylum......atapotezwa akimbie nchi.....
Anatukanwa Trump ,Biden na wapo kimya hawafanyi chochote ndiyo iwe Bibi Chura? kama hawataj
Hivi kwani kuna sheria inayowataka viongozi kupokea matusi na udhalilishaji kisa tu ni viongozi wa hii nchi?ki maoni au kutukanwaoo waachie ngazi simple tu mambo yasiwe mengi.
Hivi kwani kuna sheria inayowataka viongozi kupokea matusi na udhalilishaji kisa tu ni viongozi wa hii nchi?
Umemsahau Mbowe alivyowauziaga mafuso na maspika mabovu kwenye kampeni akawapangisha nyumba ya mkwewe kwa miaka kibao, huoni huo wizi??