Mapungufu ya zoezi la ukaguzi wa vyeti vya kugushi

...And this is the solution. Bila ku-computerize data kama hizi watakuwa wanacheza makida tu. Watashika wachache sana ila wengi watabakia.

exactly wengi sana watabaki, kwanza hata huko baraza, nasikia vyeti vinakusanywa, nyie mnabaki mnasubiri kwenye benchi, baada ya muda mfupi, vinarudi visha sainiwa,mnaondoka, eti ndio wamesha verify
 
Likiwa kama zoezi la kuondoa simu fake , litapita na michina bado itadunda tu.
Wakikosa mpango madhubuti wa kuhakiki, hawatogundua yafuatayo
1. Kuwa cheti ni original ila kinatumiwa na zaidi ya mtu mmoja
2. Kuwa cheti si original, ila mtumiaji ni original. Jina lililipo kwenye cheti fake ni la kwake
3. Cheti ni original na mmiliki ni original, ila taasisi iliyotoa cheti haijasajiliwa
4. Cheti ni original, mtu original, taasisi original. Kazi unayofanya haiendani na cheti chako. Una degree ya art, halafu ni senior medical officer.????????????
Wajipange wakaguzi, wasije kwa style ya mwendokasi
 
Natumaini ni wazima humu ndani,
Naomba Mungu taarifa nilizozisikia zisiwe za kweli maana hadi moyo unaenda mbio, eti hili zoezi la ukaguzi wa vyeti feki, wanaitisha cheti cha muhusika original na copy alafu wana verify ile copy kwa kuangalia ile original na kui sign/ ku stamp.

Kwanini wasichukue vyeti husika na kuwasiliana na chuo/shule aliyosoma muhusika, wahakikishiwe kweli alisoma pale,kipindi hicho na taaluma hiyo, bila kumuhusisha muhisika kwenye hiyo process.

Mungu ibariki Tanzania
Muwe na siku njema

Unaogopa nini wakati wakubwa wenyewe walirepeat shule kwa hiyo hata majina ya vyeti vya kuzaliwa ni tofauti na vyeti vya shule. Mifano: Wengine ni Mawaziri wa wizara nyeti utakuta ana jina la Kisukuma uku labda ni Mnyaturu.
Zamani kurudia madarasa kwa majina ya wengine kilikuwa kitu cha kawaida. Mimi nusu darasa wote walikuwa marepeators wenye kutumia majina ya watu au feki
 
unfortunately uko nje ya mada
 
Likiwa kama zoezi la kuondoa simu fake , litapita na michina bado itadunda tu.
Wakikosa mpango madhubuti wa kuhakiki, hawatogundua yafuatayo
1. Kuwa cheti ni original ila kinatumiwa na zaidi ya mtu mmoja
2. Kuwa cheti si original, ila mtumiaji ni original. Jina lililipo kwenye cheti fake ni la kwake
3. Cheti ni original na mmiliki ni original, ila taasisi iliyotoa cheti haijasajiliwa
4. Cheti ni original, mtu original, taasisi original. Kazi unayofanya haiendani na cheti chako. Una degree ya art, halafu ni senior medical officer.????????????
Wajipange wakaguzi, wasije kwa style ya mwendokasi

kabisa au unakuta vyeti vya sekondari original, chuo kasoma kweli, ila practice license feki; mfano ya TNMC, ukiridhika na vyetu unavyoviona machoni tu bila kufuatilia alikopita ni ngumu sana.
 
Natumaini ni wazima humu ndani,
Naomba Mungu taarifa nilizozisikia zisiwe za kweli maana hadi moyo unaenda mbio, eti hili zoezi la ukaguzi wa vyeti feki, wanaitisha cheti cha muhusika original na copy alafu wana verify ile copy kwa kuangalia ile original na kui sign/ ku stamp.

Kwanini wasichukue vyeti husika na kuwasiliana na chuo/shule aliyosoma muhusika, wahakikishiwe kweli alisoma pale,kipindi hicho na taaluma hiyo, bila kumuhusisha muhisika kwenye hiyo process.

Mungu ibariki Tanzania
Muwe na siku njema
click here: Waziri wa kazi vipi kuhusu ukaguzi wa vyeti vya elimu katika kampuni binafsi?
 
lengo ni zuri ila process yao ndio itawafanya wasiwakamate wote, na sijui kampuni binafsi unazoziongelea wewe ni zipi, kama ni hizi kampuni uchwara sawa, lakini kama unamaanisha Private sectors kama non governmental organisations basi hamna watu wako makini kama hawa, kabla hujapewa hata offer letter wanafanya reference check/verification za kutosha hadi kama umewahi kuhusishwa na crime yoyote ile.
 
Natumaini ni wazima humu ndani,
Naomba Mungu taarifa nilizozisikia zisiwe za kweli maana hadi moyo unaenda mbio, eti hili zoezi la ukaguzi wa vyeti feki, wanaitisha cheti cha muhusika original na copy alafu wana verify ile copy kwa kuangalia ile original na kui sign/ ku stamp.

Kwanini wasichukue vyeti husika na kuwasiliana na chuo/shule aliyosoma muhusika, wahakikishiwe kweli alisoma pale,kipindi hicho na taaluma hiyo, bila kumuhusisha muhisika kwenye hiyo process.

Mungu ibariki Tanzania
Muwe na siku njema
KISHERIA MKUU HATA KABLA YA KUMFUKUZA MTU KAZI UNAMPA BARUA ANAJITETEA NA SABABU ZAKE..SO AKUNA JINSI LAZIMA WAAMBIWE SERIKALI AIITAJI KWENDA MASHULENI HUKO UMEKWENDA MBALI KUNA JAMAA WANAITWA NECTA

PALE WANA COMP ZÀ MATOKEO TOKA 1964..SO USIWE NA WASIWASI
 
Back
Top Bottom