Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,837
- 34,256
Mahitaji
Matayarisho
Safisha dagaa na uwaweke pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu vikianza kuwa vya brown tia dagaa
wakaange kidogo kisha tia chumvi, pilipili, curry powder, turmeric, bamia na nyanya chungu, koroga vizuri
mpaka mchanganyiko wote uchanganyike vizuri kisha tia nyanya na ufunike. Pika mpaka nyanya iive kisha
kamulia limao,na pia hakikisha nyanya chungu na bamia zimeiva kidogo(usiache mpaka ziive sana manake
zitavurugika pindi utakapotia tui la nazi) kisha malizia kwa kutia tui la nazi na uache lichemke mpaka rojo
ibakie kidogo. Hakikisha nyanya chungu na bamia zimeiva ndo uipue. Na hapo dagaa wako watakuwa tayari
kwa kuliwa na wali au ugali.
- Dagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)
- Bamia (okra 5)
- Nyanya chungu (garden egg 5)
- Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)
- Nyanya (fresh tomato 2)
- Kitunguu (onion 1)
- Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
- Turmeric powder 1/2 kijiko cha chai
- Limao (lemon 1/2)
- Chumvi (salt kiasi)
- Pilipili (scotch bonnet 1)
- Mafuta (veg oil)