Mapenzi yanauma jamani...

Kwanini mapenzi yanauma...?!!I wish kupata jibu la swali hili. Kwanini ni kitu kinachoweza mnyima mtu usingizi na raha?!..why?!. Haya ni baadhi tu ya maswali najiuliza. By the way baadhi ya watu hapa wanaweza comment as if hawajawahi umia kwasababu ya mapenzi au hawezi umia...kumbe....siri mioyon mwao. Ila kwa kweli mapenzi yanarun dunia. Binafsi nimenyoosha mikono
 
Hivi kuna siri gani nyuma ya mapenzi. Kwanini mapenzi yawe yanauma sana? and when love is over, where does it go?!!


Mapenzi hayaumi wala hayaumizi kinachokuuma ni kitu kingine kabisa nacho ni kukataliwa na watu wengi wanachanganya na mapenzi ni sawa tu uombe kazi halafu unyimwe pia inauma na ndiyo maana utaona wengi wanaachana poa kabisa lkn siku mmoja akipata mwingine hapo ndiyo maumivu yanakuja sasa hayo maumivu siyo kwa sababu ya mapenzi bali ni ile hali ya kujiona umekataliwa hiyo ndiyo inayoumiza wengi hivyo husema mapenzi yanaumiza kumbe ni kukataliwa tu ndiyo kunakouma!
 
Ni kweli yanauma sana...
yamenisababishia matatizo makubwa na athari nyingi ninazo ishi nazo kama ngozi.....
Sina hamu mimi.....
life imekuwa miserable!
kwa wanao jua watanielewa!!
 
Ni kweli yanauma sana...
yamenisababishia matatizo makubwa na athari nyingi ninazo ishi nazo kama ngozi.....
Sina hamu mimi.....
life imekuwa miserable!
kwa wanao jua watanielewa!!
Kama Mimi, nimekuelewa . Na hii ni kwa sababu ya kupenda kwa dhati. Pole Sana
 
Kama HAUNA hela mapenzi yanauma sana mkuu
Lkn kama hela ipo mapenzi hayawezi kukuuma sababu ku replace ni guarantee
 
Back
Top Bottom