Huo ni mtizamo wako, mimi binafsi tangazo lile naona lipo vizuri tu unahaki ya kutolipenda ila hunahaki kusema kwa ujumla wake kuwa limebuma.Nmekuwa mfuatiliaji wa kawaida tu wa vipindi vinavyorushwa na clouds tv na clouds fm.
imekua kawaida yao kila wanalolileta huchukua muda mfupi kukubalika na kucapture attention kubwa toka kwa vijana na jamii kwa ujumla kama vile kipepeo, malkia wa nguvu nk
Lakini kwa muono wangu tofauti naona hii ya mapenzi mubashara imebuma japo wanajaribu kutumia nguvu kubwa kuipush lakini kiukweli haina mvuto!
Halafu sioni umuhimu wake kwa kizazi hiki kinachotakiwa kufikiria maendeleo kufikia tanzania ya viwanda na uchumi wa kati,
clouds mbadilike kwa kweli kwani jamii inamambo mengi ya kushupalia na kujadili kwa kina kuliko hiyo mapenzi mubashara,
pia inaongeza amasa kwa vijana na watoto wadogo kuanza kujihusisha na masuala haya hatari kwa ustawi wa taifa!
Shame on you clouds