Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

Amebana mshahara wa mwezi mmoja wa mawaziri ili usaidie kusomesha watoto wa walalahoi mwakani pia itakuwa vizuri kila baada ya miezi 6 awe anawapa likizo ya miezi 2 ya bila malipo
 
Waziri wa wizara nyingine anaweza kumjibia kwa niaba aua hata hilo limekushinda.Mfano siku moja waziri wa afya aliuzwa swali akajibiwa na waziri wa ulinzi wakati huo Hussein Mwinyi.


Manaibu ni muhimu ila cha msingi anaweza kupunguza idadi ya wizara. Waziri kama hayupo kwa mfani bungeni nani atawakilisha wizara na utambue makati wakuu si wanasiasa na.hivyo hawawezi kujibu hoja bungeni.
 
Wale mawaziri wa awamu ya 4 baadhi yao wasirudi especially wale wenye matumbo makubwaa
 
Amefanya vizuri analipia miezi waliyozidisha wale wa JK na pia ameongeza mapato kwa waganga ambako wale wasaka uwaziri wanaenda
 
Ujue wingi wa watu haisaidii, kikubwa ni utashi tu!
Bado namuunga mkono hata kwa kuchelewa kutangaza hilo baraza.
 
Hili la ubunge wa viti maalum Mheshimiwa Mkuu wa nchi aliangalie kwa macho yote. Ni hasara kwa taifa hawana wanayemuwakilisha zaidi ya kupokea mshahara wa bure. Acha bunge liwe dogo nchi itaenda na uzembe utapungua bungeni. Manaibu waziri ni mzigo mwingine. Makatibu wanatosha kutekeleza majukumu. Hizo pesa bora kuongeza mshahara kwa wafanyakazi
 
Hapa kazi tu mkuu wa nchi amewaduwaza hata wanachama wenzake!ni funzo zuri kua watu huwa hawafanyi kazi ni bla bla tu na siasa nyiiingi na hapo ndipo unapokuja sadiki kua hii nchi si masikini ki hivyo
 
.....bado naona bado JPM atapata shida kiutawala kama atabaki na makatibu wakuu waliopo...maana siamini kama wengi wao wana weledi unaotakiwa....maana ikumbukwe kuwa utendaji wa mawaziri wa utawala ulioondoka ulilalamikiwa na kwa maana hiyo huwezi kuwakwepa makatibu wakuu wao...kwa kuwa wao ndio watendaji wakuu wa kila wizara...na ubovu wa waziri kiutendaji unaweza kuchangiwa na ubovu wa katibu mkuu pia....

....hivyo basi...kama JPM anataka kweli ufanisi serikalini...basi awabadili hata makatibu wakuu....maana wao ndio washauri wakuu wa mawaziri....na kelele zilipigwa pia kuwa wengi wao waliteuliwa kishkaji na mkulu aliyepita....mi siwaamini pia makatibu wakuu waliopo...haswa wale wa wizara zilizokuwa na kero nyingi....
 
Back
Top Bottom