YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
CCM walikupa nini?CCM inakubali kuwa kulikuwa na mapungufu, ndio maana mh. Rais alisema hivyo wakati wa kupokea matokeo. Alisema ni vyema tume ikaangalia jinsi ya kuyaondoa mapungufu hayo in the future.
CCM haikubaliani na hysteria inayoonyeshwa na Chadema. Mazungumzo ni jambo ambalo CCM imelikaribisha kila siku, ila mwenyekiti wa CCM ambaye ndio Rais ya Jamhuri hawezi kuanzisha mazungumzo na chama kisichomtambua.
Kubalidilishwa au kuboreshwa kwa katiba ni wazo sahihi, lakini lina taratibu zake. Among hizo taratibu, kutokumtambua Rais na kususia hotuba zake haipo.