Mapambano ya kidemokrasia dhidi ya utawala wa awamu ya tano yataendelea, na natoa onyo kwa vijana wa lumumba

Boko haramu ni CCM/ UVCCM. Hawa wanashirikina na usalama wa taifa, polisi kuteka na kuua watanzania wasio na hatia.
Kijana wa watu wamekumanupulate unayowaza wala hayako hivo. Acheni hizo drama, hivi bila ccm unaona kuna mbadala kweli wewe?
 
Kijana wa watu wamekumanupulate unayowaza wala hayako hivo. Acheni hizo drama, hivi bila ccm unaona kuna mbadala kweli wewe?
Shauri yenu.. Endekezeni uchama muone mtakapoishia. Sasa hivi bado mna kiburi cha amani, itakapotoweka nyie ndo mtakuwa target ya kwanza.
 
Hii Ni Serikali Ya Visingizio
Wakiua Wanakwambia Watu Wasiojulikana Hao
Wakiua Kwenye Maandamano-Chadema Hao Walifyatua Risasi Ikaenda Juu Mara Ikakunja Kona.
Mara Utawasikia Mataifa Ya Nje Hayo Yanatuchonganisha Tuharibu Amani Yetu. Mataifa Ya Nje Yanabaki Kushangaa Ila Yanaona Hawa Ni Vichaa Tu Sio Wa Kuhangaika Nao, Ila Mbeleni Huko Tutakuja Kupigwa Sanctions Tu Hamuwezi Mkawa Mnaropokaropoka Ujingaujinga Kama Wa Kina Musiba Halafu Muangaliwe Tu.

Kwa Hiyo Jamani Hii Ni Serikali Ya Kurusha Lawama Kwingine
Ukiwauliza Uchumi Mbona Unadorora, Mara Mwanzo Mugumu, Mara Tupo Kwenye Right Track, Mara Huu Ndio Uchumi Wetu Halisi Ule Wa Awamu Ya Nne Ulikuwa Wa Kufoji
Elimu Bure Ni Hovyo Watasingizia Walimu Wakuu
Demokrasia Kubinywa Watasingiziwa Chadema
Doh, Jamaa Hawaishiwi Visingizio
 
Mvua zimeanza elekeeni mashambani mkalime acheni ujinga haya mnayopanga only theoretic
 
You may be right,lakini umesahau tu kuwa hata ushoga ni demokrasia ya kibaiolojia. .... Contradiction!!!
 
Huko ulikuwa uko peke yako, CHADEMA imeingiaje hapa?
Unapozungumza mapambano dhidi ya nani?Hao unaopambana nao ili wapate uhalali na kukubalika,wanayarlekeza mapambano yao dhidi ya vyama vya siasa hasa vilivyodhaniwa vina nguvu k.v chadema.
Jiulize kama vyama hivi visingekuwepo wangekuwa wanamlaumu nani!?Je wananchi wangewaelewa?
 
Ndiko mnakolazimisha watu waende, nimeona video moja huko nje watu wameanza kupanga kuja kufanya mapinduzi mnafikiri madogo hayo? Nyie endeleeni kuchochea moto mnafikiri mtabaki salama?
Mikwara mbuzi tu nyie hamna chochote mnachoweza kufanya, kama we kwel kidume hebu andamana hata peke yako hiyo 26/4
 
IMG_1175.JPG
 
Huna haja ya kuniambia niandamane moyo wangu tayari ulishaamua hivyo muda mrefu.

I have nothing to lose.
Zamani nilipata shida sana kuelewa ilikuwaje mpaka kuwe na makundi kama Boko haram na Alshabaab, kumbe sasa jibu nimelipata na kule Kibiti ilikuwa ni Demo tu.
 
Back
Top Bottom