kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,164
Naandika uzi huu nikiwa na majonzi na hasira kwanini uvccm wamekua wanafki wakubwa kiasi cha kuingilia na kutafuta kiki kupitia mgongo wa kadhia ya lissu
Natamani wakamatwe nao wakahojiwe wasaidie kwenye upelelezi maana wao wanaonekana wajua.
Na ni unafiki wa hali ya juu kuwashwa na mambo ya chadema huku uvccm kukiwa poor na hamna la maana wafanyalo vijana wa uvccm.
Kumekuwepo na lawama nyingi kwa uvccm kutoka kwa wanachama kuhusu ufisadi mkubwa,matumizi mabaya ya pesa za ccm na baadhi wakidai kwa kulalamika juu ya kuwepo kwa masuala ya ushoga na mashoga ndani ya uongozo wa uvccm (mimi sijui haya nayasikia tu).
Kwanini wasimalize matatizo yao na waache kuingilia na kuvuruga uchunguzi wa polis na pia kutafuta kiki kupitia jina la lissu na chadema?
Kwa upande mwingine wa shilingi ni kuwa kutokana na nchi kugeuzwa ya kidikteta na ya chama kimoja tu ndo kinapendelewa bhasi natangaza rasmi kuanza mapambano ya kidemokrasia dhidi ya uvunjaji wa katiba ya nchi yetu. Kuna lipi la maana linalofanyika kama sio misifa ya kijinga tu?
Ni wakati sasa wa kuzidisha mapambano na kuukemekea huu utawala juu ya uvunjifu na chuki ulizojenga dhidi ya upinzani.
Na kupitia tukio la lissu ndo mmetifua akili za umma kwani tumekwisha elewa rangi yenu haswa na nia yenu.
Wananchi watatumia haki yao kuandamana mpaka pale utawala huu utakapoondoka madarakani.
Mapambano yataendelea mpaka pale demokrasia na kuheshimiwa kwa katiba kutakapozingatiwa nchi hii.
Tanzania ni nchi yetu sote na wasidhani tumelala au tunawapuuzia hapa ni jino kwa jino mpaka kieleweke