Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,222
5,735
Wadau habari zenu japo sijaja muda mrefu humu leo naomba mshuke hapo Maoni ya SuV isiyozi mil 35 ya kuishi nayo Mtanzania wa kipato Cha kati.

Nipo Japan kwasasa ila Narudi Nyumbani si muda mrefu nataka nizunguke mtaani nivute Chuma yakutua nayo Om hapo na bado sina maamuzi nitulie na Ipi. Karibuni
 
Back
Top Bottom