Maoni ya wadau kuhusu ukimya wa Mnyika!

In short siasa zimechafuka ...tuache ushabiki vijana wenzangu tutaaibika ....waliomchafua Lowasa na kumgeuza shetani mkuu wakiamua kuigeuza CCM kuwa malaika mtaficha wapi sura zenu? Acheni ushabiki mbuzi ili wanasiasa wote CCM na Chadema wawe na adabu ....otherwise watatuchezea akili miaka mingi ...
 
Mimi kwa imani yangu ni mkristo, ikitokea (kwa mfano)Yesu akashuka akajiunga na ccm na akateuliwa kugombea nafasi yoyote mimi siwezi kumchagua)........ nilishaa apa kura yangu haitakaa iende ccm mpaka nakufa
 
1467927841967.jpg
 
mnyika piga kavu mpaka uchwara wote tukaukiwe maneno uchwara!afu akili timam zitukae sawa ndyo useme..hahahaaa natania tu!
 
Mnyika hawezi akawa ktk CHADEMA hii uchwara!
CHADEMA iliyo poteza identity yake
CHADEMA ambayo KATIBU MKUU anaokotezwa tu barabarani

Mnyika bila kuja kukuomba msamaha usirudi CHADEMA na Jimbo utalitetea 2020 hata ukienda ACT
Siasa UCHWARA ikiongozwa na wana siasa UCHWARA ndiyo filosofi mpya za CHADEMA
 
Back
Top Bottom