Kawaulize moro wanavyomshangilia utafikiri masihi. Wakulima wanajua samia anachowafanyia. Jpm aliua mazao yao. Mam karudisha tabasamu kwa masoko ya nje na ndaniKazi ipi nzuri unaiongelea ?
Kubinafsisha mali za Tanganyika
Kuchukua mikopo na kuipeleka Zanzibar huku walipaji wakiwa Watanganyika
Bado mnaamini kuna watu wanahadaika na hizo nyomi za mchongo? Kama mnajiamini kwa hizo nyomi za mchongo, ruhusuni tume huru ya uchaguzi muone mnavyojidanganya vibaya.Leo morogoro ilikuwa balaa. Hata jpm hajawahi kulakiwa vile na nyomi ile.
Wakuluma wanainjoy sana chini ya utawala huu. Mazo mengi jpm aliua na soko kukosena sasa mama karudisha tabsamu. Kororosho, mbaazi, viazi nk
for sure wakulima wanaenjoy with very long smile na uongozi wa huyu rais kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan...Leo morogoro ilikuwa balaa. Hata jpm hajawahi kulakiwa vile na nyomi ile.
Wakuluma wanainjoy sana chini ya utawala huu. Mazo mengi jpm aliua na soko kukosena sasa mama karudisha tabsamu. Kororosho, mbaazi, viazi nk
Wenzako kenya hawasubili serikali iruhusu tume huru ya uchaguzi bali wanaidai kwa nguvu na kufa wachache. Sasa wewe kama.unasubilia na unaogopa kufa basi endelea kusubiliBado mnaamini kuna watu wanahadaika na hizo nyomi za mchongo? Kama mnajiamini kwa hizo nyomi za mchongo, ruhusuni tume huru ya uchaguzi muone mnavyojidanganya vibaya.
Unaonaje umshauri bi mkubwa uchaguzi uwe fair and square kama kweli anapendwa watanzania waamue bila kuchakachua?Leo morogoro ilikuwa balaa. Hata jpm hajawahi kulakiwa vile na nyomi ile.
Wakuluma wanainjoy sana chini ya utawala huu. Mazo mengi jpm aliua na soko kukosena sasa mama karudisha tabsamu. Kororosho, mbaazi, viazi nk
Rais Samia Suluhu Hasan(Phd) kaongoza vizuri. Ni muda muafaka akapumzike kizimkazi kazi ya urais ni ngumu sana.Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Hamna kitu hapa labda tungoje mwingine#MchapakaziSamia katika Sekta ya Maendeleo ya Jamii
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha...