Manzese na UDSM: Wali nyama imefika shilingi ngapi?

Wali nyama una range 1500 mpaka 1700, bei haijapanda sana quality ni ya kuridhisha lakini quantity kadri siku sinavyoenda nawaonea huruma watu wa mbeya na wasukuma kwani wao wanaonja tu!
Wanaonja ;);)
 
Ugali dagaa tembele kwa pembeni na maharage na pilipili 1,000/= tu mabatini uswahilini maisha yanasonga
 
Pale Sheraton walikuwa na tabia ya kuweka hamira kwenye ugali au wali,ukiwa unakula unashiba fasta, baada ya SAA moja,njaa.

Msosi mzuri ilikuwa engineering,dah!

Daruso ilikuwa chengachenga tu,hawaeleweki
 
daruso naona sifa yao ilikua konyagi tu
 
huko kwenu raha sana huku chuga maisha hamtayaweza kwa mama ntilie wali nyama ni buku mbili... kwingine mpaka buku mbili jero
 
Kwa shibe hii ukiambiwa kuna mtu ananjaa uwezi kuamini.
Acha kabisa mkuu huwa nawashangaa sana vijana unakuta anaenda kwenda kununua chips na yai la kisasa kea 2500 na soda juu wakati kuna menyu matata kabisa unapata vitamin zote.
 
Acha kabisa mkuu huwa nawashangaa sana vijana unakuta anaenda kwenda kununua chips na yai la kisasa kea 2500 na soda juu wakati kuna menyu matata kabisa unapata vitamin zote.
Sijui tufanyeje chips yai litamaliza vijana wengi
 
Najua kama uliwahi kuonywa matumizi mabaya ya hela utaaibika, hii sehemu ushapitia ni pale UDSM kuna kaukumbi watu wanalia mlo huko.

Infact ndio sehemu ya bei rahisi kuliko kote naamini standard ya msosi iko palepale. Alieanzisha wazo la Manzese abarikiwe sana else vijana wakimasikini wangeteseka sana pale UDSM.

Waliopo vipi bei nowdays?
Ikizidi sana 2500...hata wafanyakazi tunapona humo humo
 
Ungejaribu kufuatilia biashara hiyo ya mama lishe ungewaonea huruma wanafanya kwakuwa tu hakuna kitu kingine ambacho atafanya, ana kopa mahitaji yote asubuhi jioni anaenda kulipa akibaki na buku mbili anamshukuru mungu!! Kwa akili ya kawaida tu huwezi ona kuwa manunuzi ya unga yamepanda? Ila hanajinsiwateja wenyewe ndio nyie ikaongezeka 200 tu ni shida.
Njaa hakuna mkuu,kupanda kwa nafaka miezi km hii ni kawaida kwasababu mazao yapo yanakuwa mateta bado...

Impact ya ukame njaa yake yaja na ukame sio nchi nzima
 
Pale Sheraton walikuwa na tabia ya kuweka hamira kwenye ugali au wali,ukiwa unakula unashiba fasta, baada ya SAA moja,njaa.

Msosi mzuri ilikuwa engineering,dah!

Daruso ilikuwa chengachenga tu,hawaeleweki
dsametoengn 4ur info
 
Ah ah ah ah ah
Ulikueaukitaka kufaidi mizigo yaudsm mwishomwisho boom limekatabana had shemeji anakutamanii loh.. Ndio maantripuhii pale service yaroad yakwenda calabash mwanzoni kunAbar zinajaa wanaita Kwamamaa... Happo kunahaDimadalalii wavyuo Udsm wanakulakama 10=ardhi7000..vinginevyo 5000unaitiwa mzigowahajaloh hioo n VAT EXCL
 
Unazungumzia pale hall3 au kule nera bulls park

Boom lilikata mabint ilikuwa simple tuu kuwapata mimi nilikuwa coet nikiwa na mzuka namtell mshikaji wangu wa udbs twende tukale vyombo shart aje na demu wake na demu wake aje na rafiki yake...

Mbaya zaid wasichana wanasimuliana so rafiki atasimulia rafiki waweza kuta gheto pale msewe kila wkend nachange toto za udbs maana nilikuwa nazikubali zaid...

Walio kuwa wanategemea boom tuu tumewala sana aiseee

Chuo kudadek kuna rahaa yake flan amazing,demu mkitoa 30 abakuona shujaa wakat wao wanapiga pass ndefu kinoma

Mwaka wa tatu bata zilisababisha niwe na sup..kama idadi ya masomo ya sem nzima..mamaee

Mwaka nne nikawa care
 
Back
Top Bottom