Maneno ya Hekima ya Maendeleo kutoka kwa Rais Museven wa Uganda yafaa kutekelezwa Tanzania

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,599
3,647
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini.

Bigup sana Museven.

 
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo.
Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini.
Bigup sana Museven.
Mwenyewe Jizi kubwa, all African presidents are thieves, ndugunisation ( nepotism). Ona anachokifanya Samia kuuza mali za tanganyika kwa ndugu zake uarabuni! yeye Museveni ni bilionea halafu anasema railway, electricity wakati wao ndio wezi wa hela wa misaada na mikopo
 
Mwenyewe Jizi kubwa, all African presidents are thieves, ndugunisation ( nepotism). Ona anachokifanya Samia kuuza mali za tanganyika kwa ndugu zake uarabuni! yeye Museveni ni bilionea halafu anasema railway, electricity wakati wao ndio wezi wa hela wa misaada na mikopo
Hakuna manafiki kama hayo sijui tunawaita 'Partners' why they don't expose these African leaders ambao wanaiba hela na kuweka kwenye mabenki yao huko ughaibuni!!!!!
Wanatoa misaada kila kukicha na huku wanajua hela zinarudi kwenye mabenki yao hukohuko nje!!!!
Yaan inakasirisha sana
 
Mzee Mseveni amesema maneno makubwa sana naamini kama tungekuwa na watu wenye uchungu na nchi hii kwa hayo maneno kwa kweli tungefika mbali sana.
Tatizo letu kwa sasa tumekosa wasaidia watu kwa uchungu wa ndani ili tunao watu wamejaa kusaka uteuzi tu.
Mseveni huyu huyu anayeweka familia yake kwenye uongozi na kufanya Uganda kuwa mali ya familia yake.
 
Hayo maneno kumwambia sa100 ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa acheze sebene!.
Hana hata robo ya ujasiri kutekeleza hayo mu7 anayoyasema.
 
Back
Top Bottom