fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
MTOA MAADA HAJITAMBUI AU NI BASHITE MWENYEWEDuh kumbe chadema ndio ilisaini hyo mikataba mibovu??? Au TMAA waliokagua na kuidhinisha hayo makontena ilihali wakijua kilichomo ni kingi kuliko kinachowasilishwa je nao ni chadema????
Hvi kweli mnakimbizana na upinzani mnasahau waliosaini??? Nkifkiri itakuwa aibu ya ccm maana walisaini mikataba mibovu kumbe ni chadema ndio watakaopata aibu??? Funny