Mambo ya kushangaza ulivyokuja jijini Dar

Mkapa Tower wakati huo ndio gorofa ndefu zaidi nilipofika mara ya kwanza niliangalia kwa juu hadi nkashikwa kizunguzungu, pia daraja la manzese ni moja ya vitu vilivyonistaajabisha
 
Mi huwa naahangaa hii kitu ya dada zetu wantembea na khanga tu alf ndani ana kufuri la asali tu na ni maeneo mengi sana
 
Back
Top Bottom