Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,226
- Thread starter
- #41
Yes.. never give up.
Yes.. never give up.
unatumia simu gani?Natamani kujua matokeo ya arsenal vs Liverpool wadau.
Ukweli unauma siku zote usijali Mkuu tafuta hela usitokwe povu.aibu yako ipo kwenye kutawaza tu usinuke mavi
Mwanaume asiye na pesa hana tofauti na Mwanamke.
Ukiwa boys utashikwa matako.MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUWA NAYO MTOTO WA KIUME HATA KAMA HUNA PESA
1. KUTOKATA TAMAA:
Mtoto wa kiume hakati tamaa wala hana woga wa chochote ni lazima uwe mtu wa kuchukulia maisha poa by sometimes ukitamani makubwa sana utakufa kwa stress wenzako Korea wanajinyonga kisa ku-espect mambo makubwa mno, wewe kama huna kitu chukulia mambo poa huku ukipambana kwa kujipa Moyo One Day Yes.
2. MBISHI KIGUMU:
Mtoto wa kiume lazima uwe mbishi, Mgumu na mjeuri kimtindo yaani mtu akikuona ukamuangalia tu anagwaya na kuanza kuogopa ogopa mwenyewe hata ukimtokea msichana unamchana makavu live kuwa upo majalala mwisho wa mwezi huna mshahara ila umemzimika kisela kwani magangster si ndo wanawang'oa mabeibe wakali asa wee usharobaro wa kurembua rembua macho. Mtoto wa kiume kwa msichana unakuwa mkweli na muwazi unafunguka hali halisi ya maisha yako sio kutongoza kwa gari la kuazima hizo tabia za kijinga
3. ISHI MAISHA YAKO KIVYAKO:
Mtoto wa kiume ambaye ni mgumu tena hardcore kweli kweli na uwe mwanaharakati komandoo full Gangastar msela kavu mnyambilisi king dan'dara nondo pinko kangacha huwa anaishi maisha yake, No Fake life kuishi kwa maigizo hizo mishe za kiboya. Mtoto wa kiume unaishi maisha yako kama huna huna na unakubali huna lakini usikubali kudharauliwa hata kidogo sio unakuwa fala mtu anakuspinch mpaka pua umebung'aa tu mrukie mtu juu ushuke na sikio au jicho kuwa kamanda nigger
4. JASIRI:
Mtoto wa kiume sio lazima uwe na kitu mfukoni ndio upate nguvu unatakiwa automatically tu uwe na ujasiri moyoni sio unatishiwa chura huyo unaogopa hizo sio tabia za watoto wa kiume wenzako hata ukiwa umechafuka vipi au hujaoga akapita msichana unayemkubali mstopishe umtemee madini, komaa mwanangu acha uwoga hata kama huna kitu jikoki mibomu ya nuklia kamlipulie msichana kigumu sio kumvizia mpaka uwe umependeza umevaa nguo nzuri kwani mapenzi ni nguo acha ubwege wewe mtoto wa kiume hata kuita baby baby kila dk mgumu hamuiti msichana baby, muite kigumu she's gonna give you her body believe me hawa mwalimu wao kipofu
5. MVUMILIVU:
Mtoto wa kiume kama huna kitu lazima uwe mvumilivu hata kama home umehaidiwa pocket money next week usiforce sana komaa mtoto wa kiume sio njaa ya siku moja ikulostishe utamani kufanya habari sio, wewe ni kama mwamba mwanaume hapotezi uvumilivu na usipokuwa mvumilivu unaweza chokonolewa mwangu jihadhari sana.
hizo hela ni kiasi ganiUkweli unauma siku zote usijali Mkuu tafuta hela usitokwe povu.
Asante kwa kuchukua muda wako kusoma.Yani kwanza vyote ulivyoandika ni fakerooo kabisa, sasa vitanzia Wapi kumpa mtu funzo.
Asante kwa kusoma.Nime kusoma man
Hahahahahaha... hahahaha. Duuuh...Mkuu sijui ww jinsia gani, ke au me..ila im sure utakuwa unaishi Arusha, na bila shaka una swaga za kirasi na bangi unavuta Galacha Maestro
Wahuni ni watu ila uhuni sio mzuri.Muhuni siyo mtu kabisa...
Asante kwa ushauri pia.Mwanamke mwanmke jibu lngu ni moja tu...dont be too much serious with women
Asante kwa kusoma.Safii
Punguza maneno makali. Umejificha nyuma ya simu unaongea lugha kali. Acha uoga. Kutumia lugha chafu kwenye mitandao ni ujuha uliopitiliza. Hizo lugha ongea mbele ya mtu sio nyuma ya simu chumbani umejifungia.Ukiwa boys utashikwa matako.