Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 849
- 6,490
Habarini wakuu
Naomba tushirikishane kwa kutoa mawazo na maoni mbalimbali haswa kwa wenye ufahamu kuhusu hoteli za nyota tano, na pia wajenzi na wakandarasi ambao wana uzoefu wa kujenga majengo makubwa kama hoteli za nyota tano.
Mdau anataka kujenga hotel kubwa ya nyota tano, hapa nchini haswa katika mikoa ya Dar es Salaam na Arusha, je ni mambo yapi ya muhimu ya kuzingatia?
Kama mtaji hadi kukamilika, je kipi bora tenda akipewa mtanzania au mchina katika ujenzi, je hadi hoteli kuitwa ni ya NYOTA TANO inatakiwa kua na vigezo gani? Je kiwanja chenye ukubwa gani kinahitajika ama kinaweza faa kwa hio project?
Karibuni.