Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,056
- 35,939
Kila nikisema neno kuhusu ukatoliki na hao mapapa wao basi wanajazana inbox kwangu....🚨 Breaking: The fake pope that never condemned October 7 massacre that happened on the Israel soil, today attended an exhibition showing a Palestinian Jesus (resting on a Palestinian keffiyeh)
Mtu inabidi amwambie huyu Papa feki kwamba Yesu alizaliwa, alilelewa, aliishi na alikufa kama myahudi aliyeishi Judea.
View attachment 3172232
Umeongea jambo kubwa lenye maana.
Pia hiyo picha ni wazi Papa ni idol worshiper