bravetai
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 305
- 255
Ndioooo..........
ha ha ha ha naamini unatania manake kha!!
Ndioooo..........
Mambo mengine upo sahihi HONGERA!, japo mengine kutekelezeka ni mtihani, kwahiyo kufaulu au kefeli hakutakosekana.
Pia Number (10) nahisi inahitaji ufafanuzi zaidi, hiyo kauli ya kusema eti "kumpa anavyotaka", naona kama itaendekeza ubakaji, ukizingatia Ngono, ama tendo la ndoa linahitaji sana maandalizi ya hisia na upendo ndani yake.
Penye upendo, hisia, utulivu wa mwili na akili uwa panazuia uwepo wa visingizio vya kuumwa tumbo kwa wapenzi/wanandoa.
ha ha ha ha ha umeona eeh?!, hii namba 10 naona kama inapelea hivi.
Mpe anavoitaji ukiwa vizuri. Usimnyime kila siku unaumwa. Ukiwa vibaya nweleze vizuri. Ila kumnyima kwa kisingizio cha kuumwa sio pouwa.
Huyu mwandishi ni mwanaume kajipendeleya piya hujawahi kuoa wewe wakati ukifika hata moja hiwezi
Umeandika point sana