Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 438
- 1,588
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.
2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa
3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari
4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub
5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji
6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake
7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu
8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars
9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake
10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj