Mambo 10 Niliyoyaona Leo huku Kocha Fahdu akiipeleka fainali Stellenbosch

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
438
1,588
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.

2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa

3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari

4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub

5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji

6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake

7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu

8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars

9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake

10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
 
Sura Yako utaiweka wapi tarehe 27 Mnyama akiingia final
 
Mim naona Simba imeamua kuishia kwenye ndoto za nusu fainali, n watatamba sana. Binafsi mim sijafurahishwa na matokeo, na Aina ya mpira tunaocheza, Ateba siyo streka, huyu Ahoua ndo kabisa akili yake haijakomaa.

Huyu mpanzu na kibu sijui Kama watatosha kutubeba.
 
Mpanzu .huyu ni mali sana...anaweza kuvuruga defence yoyote...
Issue ni kwamba wakati anavuruga angalia kasi za other players ndani ya box ....AHOUH ngoma hawaingii ktk box kwa haraka kuongeza number....
Kross nyingi sio V bali ni gombania goli .....
Wakishakua 3 ndani ya box ni kama hakuna mfumo tena bali kuwahi ku ,- shoot mwisho ni Papara.....FADLU ni bonge la kocha issue hapa ni quality..Imagine kama MPANZU asingeongezwa dirisha dogo..
 
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.

2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa

3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari

4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub

5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji

6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake

7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu

8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars

9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake

10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
Kama walimpiga Zamalek kwake kwann hutak amin hao wana uwezo sawa na Simbq , nq Fadlu kajiongezq lasivyo game ingeishia hapa nyumbani

Simba inaezq kufuvu bado
 
Simba akifuzu itakuwa ni uzembe wa wapinzani,,wale jamaa usidhani wakiwa pale kwao watacheza mfumo ule ule wa kujilinda sana,,kule awatokuwa na cha kupoteza watapeleka moto mwanzo mwisho na apo ndipo utakapoona zile beki nzito kama magunia ya mahindi zitavyotoa maboko🤣
Wakibadilika Mpanzu atawafumua vibaya sana
 
Ni mtazamo wako mkuu,ila kwenye suala lako la speed hapo nakupinga,mpira siyo speed tu lazima uwe na nguvu na akili au maarifa ya mpira,haya sasa hapo simba mwenye speed ni kijili,mo hussein,na kapombe angalau,tumtoe hamza tumuweke nani mwenye speed unayoitaka,
Naona umemuweka na sowah wa singida Kulinganisha kwa kigezo kipi maana tunaweza kubatilisha kauli yako endapo tutaamua kumlinganisha Huyo sowah na Mayele au Guirassy,
Afterall Simba atatoboa tu
 
Wakibadilika Mpanzu atawafumua vibaya sana
Unadhani wao ni wajinga subilia 2nd leg uyo mpanzu wako atageuka beki badala ya kushambulia,,mfumo waliokuja nao ugenini kuiheshimu Simba na kucheza kwenye mid block ndio umewafanya Simba waonekane wanacheza, na Unapokuwa ugenini ni lazima umuheshimu mwenyeji wako kwanza!
 
Ttzo umeanza waona juz , mimi nawajua nje ndan , Simba atawabomoa hukp bondeni
 
Mpanzu .huyu ni mali sana...anaweza kuvuruga defence yoyote...
Issue ni kwamba wakati anavuruga angalia kasi za other players ndani ya box ....AHOUH ngoma hawaingii ktk box kwa haraka kuongeza number....
Kross nyingi sio V bali ni gombania goli .....
Wakishakua 3 ndani ya box ni kama hakuna mfumo tena bali kuwahi ku ,- shoot mwisho ni Papara.....FADLU ni bonge la kocha issue hapa ni quality..Imagine kama MPANZU asingeongezwa dirisha dogo..
Mkuu unadhan nani anaweza kumfurahisha mpanzu akiingia au wakiingia
 
Back
Top Bottom