Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,979
- 104,275
Yanga leo taifa tumeandaa jiko la gesi la kuchomea mikadi ya maccm.Naona mnatafuta pa kutokea.yanga inawasubiri.
Yanga leo taifa tumeandaa jiko la gesi la kuchomea mikadi ya maccm.Naona mnatafuta pa kutokea.yanga inawasubiri.
Povu la nini, mtoa comment kalingalisha kama ulivyo sema ww kuwa mama wema kawadanganya Chadema, na sis tumedanganywa na rais wako kuwa kuna nchi ya viwanda, rejea kauli ya NyerereMambo ya viwanda utapata kwenye jukwaa la Biashara na Uchumi. Hili ni jukwaa la siasa.
Kama unataka mambo ya viwanda, ingia hapa;
LINK Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
By the way, Kama ungekuwa unanipuuza wala usingepoteza muda wako kusoma na kutoa komenti.
Mambo ya viwanda utapata kwenye jukwaa la Biashara na Uchumi. Hili ni jukwaa la siasa.
Kama unataka mambo ya viwanda, ingia hapa;
LINK Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
By the way, Kama ungekuwa unanipuuza wala usingepoteza muda wako kusoma na kutoa komenti.
Huruma ya ADUI.Si anawadanganya Chadema wewe inakuuma nini? Ya Chadema waachie wenyewe .. pilipili ale mwingine uwashwe wewe
Sijawahi kuipenda ccm.zichomeni tu.hakuna namna.Yanga leo taifa tumeandaa jiko la gesi la kuchomea mikadi ya maccm.
Leo unataka JK abakie kuwa Mwenyekiti wa CCM?Well kwahiyo umepanic Wema kukimbia chama chenu? Kama hawana lolote ni kwa nini usiwapuuze tu?
Au unadhani jukwaa hili ni la porojo? Hebu nenda wewe Instagram funguwa page tuje tukukaguwe utapata wafuasi wangapi na Wema ana wafuasi wangapi.
Hilo lichama lenu mngekuwa na akili timamu JK angebakia kuwa mwenyekiti na huyu mungu wetu abaki tu kuwa mfalme lakini tatizo hamna maono, mpuuzi mmoja tu ambaye majina na elimu yake ni mashaka matupu anawagharimu na bado mnakenuwa meno tu jinga kabisa wewe.
Endelea kumbwela mbwela hivyo hivyo!! Sasa kama huamini nini kimekufanya uache shughuli zako na kuleta threads dhidi yake badala ya kumpuuza?!!Kwanza lazima uelewe kura ni siri ya mtu. Huwezi kuanza kuhesabu kura kwa kutumia hisia. Ni Chimbi pekee anayejua kura yake alimpigia nani.
Pili, Nani amekuambia kama kuwa nyuma ya mtu lazima uchukue kadi ya chama.
Kwa hiyo unakubali kuwa Mama Wema ana kundi la watu 5,000 litamfata CHADEMA?
Mkuu;Ni mjinga tu asiyeelewa impact yake!Kuna watu ambao hata siasa hawafatilii,wao wanamchukulia wema kama role model wao,wata mfuata tu huko aliko!Ukiacha mbwembwe,ukatumia akili then utaelewa hoja hii!
Mbowe alisema lowasa anakuja na wana CCM milioni mbili Na God bless lema akasema Chadema imeagiza makontaina ya kadi za Chadema kutoka China za kuwapa Hao mamilioni ya wana CCM waohama.CHa ajabu waliufyata hawaongelei tena kontaina zimewadodea Kwa matumaini hewa waliyopewa Na lowasaKwani wewe ni mwanachadema?
Mkuu Usipende kuongea ongea ukweli bana.Well kwahiyo umepanic Wema kukimbia chama chenu? Kama hawana lolote ni kwa nini usiwapuuze tu?
Au unadhani jukwaa hili ni la porojo? Hebu nenda wewe Instagram funguwa page tuje tukukaguwe utapata wafuasi wangapi na Wema ana wafuasi wangapi.
Hilo lichama lenu mngekuwa na akili timamu JK angebakia kuwa mwenyekiti na huyu mungu wetu abaki tu kuwa mfalme lakini tatizo hamna maono, mpuuzi mmoja tu ambaye majina na elimu yake ni mashaka matupu anawagharimu na bado mnakenuwa meno tu jinga kabisa wewe.
Mkuu;Tokea lini CCM wakaitakia mema CDM? akunwe binti ndani uanze kulia wewe jirani aise kuwa CCM lazima uwe na akili za kichatochato
Mjanja wema kaona akiwa CCM hiyo kesi itabidi amlipe Tundu lisu hela zake Kwa kuhamia Chadema chama ndicho kitamlipa Lisu .Yeye hatoi hata shilingiHesabu rahisi na a clever guess, Wema kahamia kwa ajili ya kesi yake. Kwanini hakuhama kabla ya kutajwa? Pia perception ya wakili wake anaonekana ana clout ya kuwabwaga mawakili wa Serikali. Kwani mawakili / judges ndio CCM? Naona picha ya disappointment. Time will tell!
Rich mond????mbona lowassa alisema akipewa nafasi chadema atasema Richmond ni ya Nani na alituambia so mama wema njoo tukusaidie kumtetea wema![]()
Kwani Rais alikuambia kutakuwa ni viwanda ndani ya mwaka mmoja?Povu la nini, mtoa comment kalingalisha kama ulivyo sema ww kuwa mama wema kawadanganya Chadema, na sis tumedanganywa na rais wako kuwa kuna nchi ya viwanda, rejea kauli ya Nyerere