Pamoja na kuwa ni maswali tofauti, lakini mtu unaweza kujua uwezo wa kufikiri na upeo wa mtu kutokana na jinsi alivyojibu swali
naona mleta thread hii ndio ana-IQ ndogo,wacha kutaka kmsakama mama wa wat kajib maswali vizuri tu,halaf IQ test inapimwa kwa watu kujibu maswali ya aina moja na unayalinganisha majibu yao,hapa wameulizwa maswali tofauti hivyo hakuna unachopima hapa,halafu labda nikfahamishe IQ test si kipimo kizuri mana mtu anaweza kujibu maswali ktokana na elimu ake aliyesomea mfano,mtu aliesomea sayansi anauwezo mkubwa wa kufaulu iq test sabab inahusisha sana mahesabu kuliko yule aliyesomea political sayansi.mama salma kajibu vizuri na kwa wazi kshinda hata labda mrs.mbowe angejibu maswali hayo hayo.