Mama Lowassa aongoza Usafi Hospitali ya Mafiga

Unataka kujaza thread kwa maneno yasiyo ya msingi hakuna aliyekatazwa kushiriki katika siku hii au kuhodhi nyadhifa hizo.
 
Kweni kuna ubaya Kama ameiga Kaskazini??? Au Kaskazini siku hizi sio Tanzania???

Queen Esther

Magufuli ndio kaiga usafi wa watu wa Kaskazini , umeona mji wa moshi una vyoongoza kwa usafi? au magufuli alisha kuwa mkuu wa wilaya ya moshi? Haahaa usafi kaskazini ni jambo la kawaida Magufuli kajifunza huko akalifanya la kitaifa wengine waige.
 
Ni kweli maana nakumbuka jinsi alivyopiga mzigo na alivyotengewa Viti maalum vya Zawadi. Kuna marafiki zangu walikuwa Chadema damu na walikipigania chama kwelikweli, waliachwa na imewauma na wanategemea kurudi CCM.

Queen Esther

mama lowassa anaweza kuja gombea nyadhifa kubwa sana hapo baadae I see her clearing her way
 
Ni kweli maana nakumbuka jinsi alivyopiga mzigo na alivyotengewa Viti maalum vya Zawadi. Kuna marafiki zangu walikuwa Chadema damu na walikipigania chama kwelikweli, waliachwa na imewauma na wanategemea kurudi CCM.

Queen Esther
Naona anazichanga karata zake Taratibu aje atoe dume mwisho wa mchezo na huko walipo sasa its clearly she will get wat she wants
 
Back
Top Bottom