Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

Tutalaumu sana watanzania kutojituma.

Binafsi nimetembea mikoa yote ya Tanzania, nilichojifunza juu ya watu fulani eti wavivu watu fulani wachapa kazi NI UONGO MTUPU.

Tanzania kila mahala watu wanajituma sana ili kuishi maisha mazuri, kimsingi kila mtu hapendi dhiki na anahitaji kupata mkate WA kila siku.

TATIZO KUBWA LA TANZANIA NI MIFUMO NA UMASIKINI WA KURITHI WA JAMII NYINGI.

mfano mdogo ni Pwani ambako tunawaita wavivu, kiuhalisia sio wavivu Bali mfumo wa maisha waliorithi, mfumo wa nchi na umasikini wa vizazi vilivyotangulia.
Mfumo wa maisha ya watu wa Pwani NI ukarimu na kutojali Sana baadala yake wanafocus sana akhera na sio dunia.
Hali imewafanya kutojali kuuza ardhi, kutojali kupata kikubwa kwa njia ya dhuluma, kutofanya biashara ambazo dini inakataza.
Mfumo wa nchi pia umechangia miji mingi ya Pwani kudumaa maana hakuna setup ya viwanda wala shughuku kuu za uzarishaji mali kama migodi, nk.
Umasikini wakurithi, Familia ikiwa masikini kuna uwezekano mkubwa sana vizazi vinavyofuatia navyo kuwa masikini, watu wengi wa Pwani kutoka na utamaduni na historia vizazi huko nyuma vilikuwa masikini na havikuona sana umuhimu wa kuiishi dunia matokeo yake ni umasikini wakurithishana.
Umasikini wa fikra au kuchelewa kupata fikra kuliwafanya watu wa Pwani kutoona umuhimu wa Elimu dunia matokeo yake watu walijikita zaidi kwenye Elimu akhera bila kuzingatia Elimu dunia.

Wachaga sio wachapakazi maana hata miongoni mwao ziko familia masikini.
Wachaga kilichowabeba na kinachowabeba ni suala la kihistoria, uwepo wa wamissionary wengi ukanda wa Kilimanjaro kulipelekea wachaga wengi kwenda shule na kufanikiwa kuingia kwenye mifumo, uwepo kwenye mifumo kujisaidia kunyanyua Kaya zao na kufika hapo walipo, lingine Kwa wachaga ni ubinafsi na roho mbaya (hivi watu wa Pwani wakikosa wakagawa ardhi na kukalibisha wageni), ubinafsi wa kupeana deals na kazi wachaga wenyewe kwa wenyewe bila kuangalia watu wa makabila wengine kinawabeba sana.

Hapo mengi sana ya kuandika, tufungue bongo zetu, wavivu wapo kila jamii na wachapa kazi wapo kila jamii.
Leo tunasifiana na kukandiana huku Africa lakini Wazungu wanatusema WaAfrica wote na kutuita wavivu, JE TUKUBALI WAAFRICA WOOTE NI WAVIVU?
Umeandika vitu vikubwa sana nitarudia tena. Ila viwanda pwani ndio inaongoza kuwa navyo vingi nchi nzima. Sijakupata hapo kwa watu wa pwani ni viwanda.
 
Hapo sawa. Hawa kuendelea kupitia kwao na miradi yao labda uwe mwizi au uwe na ushawishi mkubwa kwao, lakini wale watu wa kawiada wa Pwani kazi ni ngumu.

Ilishawahi kusemwa kwenye Baraza la Congress USA juu ya umasikini wa Africa na mfano ulitolewa Taifa la Tanzania.
moja ya concern ya Yule senator ni Makampuni makubwa yenye uwezo wa kulipa vizuri na yenye kufuata standard na kujali welfare za watu hawawezi kuwekeza Africa kutoka na urasimu, mifumo mibovu ya Kodi nk.

Mfano mzuri ni Makampuni yanayooperate mining kanda ya Ziwa, mishahara yake na standard zake huwezi kufananisha na uwekezaji wa Mchina au Mhindi, Makampuni ya oil and gas yaliyowekeza Mtwara awamu ya nne, Makampuni ya ujenzi wa Barabara kama Strabag, AASLEEF aka Bam, Songea Storm nk huwezi kufananisha na haya Makampuni ya China au kihindi kama Chico, Sino, nk.

Lugha ya umasikini ni pana Sana, Wasukuma ndio kabira linalosifika kwa kuchapa kazi lakini ukienda vijijini huko shinyanga, Geita nk kuna umasikini wa hatari sana, shida ya hawa watu sio uvivu bali ni ujinga wa kurirthi na mifumo mibovu inayotaka watu wawe masikini.
 
Tutalaumu sana watanzania kutojituma.

Binafsi nimetembea mikoa yote ya Tanzania, nilichojifunza juu ya watu fulani eti wavivu watu fulani wachapa kazi NI UONGO MTUPU.

Tanzania kila mahala watu wanajituma sana ili kuishi maisha mazuri, kimsingi kila mtu hapendi dhiki na anahitaji kupata mkate WA kila siku.

TATIZO KUBWA LA TANZANIA NI MIFUMO NA UMASIKINI WA KURITHI WA JAMII NYINGI.

mfano mdogo ni Pwani ambako tunawaita wavivu, kiuhalisia sio wavivu Bali mfumo wa maisha waliorithi, mfumo wa nchi na umasikini wa vizazi vilivyotangulia.
Mfumo wa maisha ya watu wa Pwani NI ukarimu na kutojali Sana baadala yake wanafocus sana akhera na sio dunia.
Hali imewafanya kutojali kuuza ardhi, kutojali kupata kikubwa kwa njia ya dhuluma, kutofanya biashara ambazo dini inakataza.
Mfumo wa nchi pia umechangia miji mingi ya Pwani kudumaa maana hakuna setup ya viwanda wala shughuku kuu za uzarishaji mali kama migodi, nk.
Umasikini wakurithi, Familia ikiwa masikini kuna uwezekano mkubwa sana vizazi vinavyofuatia navyo kuwa masikini, watu wengi wa Pwani kutoka na utamaduni na historia vizazi huko nyuma vilikuwa masikini na havikuona sana umuhimu wa kuiishi dunia matokeo yake ni umasikini wakurithishana.
Umasikini wa fikra au kuchelewa kupata fikra kuliwafanya watu wa Pwani kutoona umuhimu wa Elimu dunia matokeo yake watu walijikita zaidi kwenye Elimu akhera bila kuzingatia Elimu dunia.

Wachaga sio wachapakazi maana hata miongoni mwao ziko familia masikini.
Wachaga kilichowabeba na kinachowabeba ni suala la kihistoria, uwepo wa wamissionary wengi ukanda wa Kilimanjaro kulipelekea wachaga wengi kwenda shule na kufanikiwa kuingia kwenye mifumo, uwepo kwenye mifumo kujisaidia kunyanyua Kaya zao na kufika hapo walipo, lingine Kwa wachaga ni ubinafsi na roho mbaya (hivi watu wa Pwani wakikosa wakagawa ardhi na kukalibisha wageni), ubinafsi wa kupeana deals na kazi wachaga wenyewe kwa wenyewe bila kuangalia watu wa makabila wengine kinawabeba sana.

Hapo mengi sana ya kuandika, tufungue bongo zetu, wavivu wapo kila jamii na wachapa kazi wapo kila jamii.
Leo tunasifiana na kukandiana huku Africa lakini Wazungu wanatusema WaAfrica wote na kutuita wavivu, JE TUKUBALI WAAFRICA WOOTE NI WAVIVU?
Uko sahihi
 
Ilishawahi kusemwa kwenye Baraza la Congress USA juu ya umasikini wa Africa na mfano ulitolewa Taifa la Tanzania.
moja ya concern ya Yule senator ni Makampuni makubwa yenye uwezo wa kulipa vizuri na yenye kufuata standard na kujali welfare za watu hawawezi kuwekeza Africa kutoka na urasimu, mifumo mibovu ya Kodi nk.

Mfano mzuri ni Makampuni yanayooperate mining kanda ya Ziwa, mishahara yake na standard zake huwezi kufananisha na uwekezaji wa Mchina au Mhindi, Makampuni ya oil and gas yaliyowekeza Mtwara awamu ya nne, Makampuni ya ujenzi wa Barabara kama Strabag, AASLEEF aka Bam, Songea Storm nk huwezi kufananisha na haya Makampuni ya China au kihindi kama Chico, Sino, nk.

Lugha ya umasikini ni pana Sana, Wasukuma ndio kabira linalosifika kwa kuchapa kazi lakini ukienda vijijini huko shinyanga, Geita nk kuna umasikini wa hatari sana, shida ya hawa watu sio uvivu bali ni ujinga wa kurirthi na mifumo mibovu inayotaka watu wawe masikini.
Hapo nimeelewa sana.
Kuna mchinq mmoja alikuja na bidhaa zake za Electronics. Kwanza kazificha appartment alafu kamchukua dogo mmoja amtafitie wateja kkoo. Dogo kamlink na wanunuzi wakubwa na anaendelea kumtafutia masoko lakini anamwambia atamlipa 150K kwa mwezi.
Alafu hataki afany4 kazi nyingine yoyote.
Baadae wateja anawawahi yeye moja kwa moja hataki dogo aongeze hata 100 kwenye bidhaa moja.

Halipi kodi, hana flame, hajui soko lakini bado qnasaidiwa kuingiza mamilioni lakini anamkandamiza jamaa hadi mwisho. Dogo yule nilimwambia achana na huyo mjinga endelea na mishe zako akaondoka na sample zote wakaachana.
Wale jamaa wakati mwingine kiwategemea wakutoe ni ishu kubwa.

Juhudi kali au kujituma ili usife njaa ni tofauti na juhudi ili uuage umasikinj moja kwa moja. Wengi tunajituma ili tusife au tusidhalilike au watoto wasikose ada au chakula kisije kikaosekana. Hizo juhudi haziwezi kututoa.
 
Haya ndio mawazo ya kimasikini yaliyowajaa watz wengi. Mtu akiwa na ukwasi au anafanya vizuri kibiashara utasikia 'ndagu'. Umasikini huwa unaambatana na roho mbaya, na roho mbaya ndio uchawi wenyewe.
Watu sio wajinga
Na wajinga sio watu.
Watu ambao uchawi kwao sifa
Utashangaa hilo?
Au Gambosi ipo Moshi?
Wilaya ya Itilima ndio wilaya inayoongoza kwa kuwa na waganga wengi kuliko wilaya yoyote Tanzania waliosajiliwa, Sasa jiulize wasiosajiliwa ni wangapi?
Mji wao mkuu Bariadi, kila mwaka Kuna mashindano ya kushindanisha uchawi(mbina), unataka kusema nini?
Mkoa waokuna mkuu wa waganga na mkuu wa wachawi na wote wanatambulika na mamlaka za mkoa.
Unataka kusema nini?
 
Back
Top Bottom