Mama Killango Jitoe Ccm Kama Wewe Ni Mkweli!

Hii migawanyiko ni kitu ambacho hakiepukiki ndio maana nimekuomba kuwa uwe tayari kukubali wenzako na uache kufikiria kuwa fujo ndio njia pekee ya kuleta muafaka.

Zaidi mkuu, usiku mwema.

Very nice debate indeed ingawa maswali yangu hayajajibiwa bado.

Usiku mwema..Ni matumaini watakuja na PLAN B
 
Originally Posted by Kubwajinga
Hopeful all those who offend others would take a note and behave likewise. I asked one prominent member to do the same but instead got even more insults from him and his cheerleader. Kudos Rev.
With this kind of language, I would have been surprized if you gat any apology from anyone.

What kind of language that suprised you?, the cheerleader? Are you?
 
With this kind of language, I would have been surprized if you gat any apology from anyone.


Mkuu wangu Mwafrika Wa Kike,


Heshima mbele mkuu, hapo tupo ukurasa mmoja, yaani kuchapa bakora tu, yeees piga fimbo! Si unajua Nyani usimuangalie usoni yaani kumkoma nyani giladi!

Kuna mtumzima hapa ameshikwa pabaya, chapa fimbo tu mpaka kieleweke
 
akitoka ccm uozo wa ccm utaujulia wapi mwacheni mama wa watu katumwa na mungu huyu kuwanusuru watanzania
mungu akubariki mama
 
Akitoka CCM washabiki wake si watamfuata huko aliko na atakuwa ametoa fundisho kwa wanaCCM na wananchi kuwa hatuwezi kuvumilia ufisadi. Mbona vyama vingi hata nje ya nchi vinaundwa na wale ambao wameasi vyama vyao vya awali kwa sababu havina sera madhubuti? Kwani CCM imekuwa destined kutawala nchi hii milele? Kama kweli huyu mama ni genuine basi adiriki na kuamua kutoka huko la sivyo wengine tutamchukulia kama mpiga kelele tu mwenye discontents zake binafsi na si maslahi ya taifa.

Mimi binafsi nina wasiwasi sana na anachosema huyu mama! Kwanza suala la EPA kwa sasa linafanyiwa kazi hatuhitaji yeye kutukumbusha? Fedha si tumeambiwa zinarudi? Asubiri muda wa Kamati uishe na atoe maoni yake. Pili, mme wake je ni msafi? si huyu mzee ambaye Nyerere aliamua kutumia kila jinsi ili kuikwamua nchi dhidi yake kwani alikuwa anaingiza fedha toka nchi za kiarabu? Tunaweza kusema mengi, lakini the bottom line ni kuwa hawa wanaomtetea huyu mama kwa nguvu zote wanaangalia uande mmoja tu wa shilingi! Mama huyu amesema mambo mengi mazuri, but we need her to show her strength aondoke kwenye chama cha mafisadi na asimame na chama kingine au independently ili watu wamchague kwa hoja zake na si kwa kutumia mgongo wa CCM ambao mbinu zao siku zote ni chafu! You cannot eat the cake and have it!
 
Usiku mwema..Ni matumaini watakuja na PLAN B

Kwa jinsi nnavyomjua Mushi anavyoandika kwa kufikiri sana!!!,Plan B kwake ni ile MWK alivyomsemea!
Katika watu wenye speed ya kuandika Mushi nimemyanyulia mikono!! tehe tehe
 
Mkuu Job
Nafikiri Makosa Ya Mumewe Ni Dhahiri Hatutomtendea Haki Kumuhusisha Mkewe
Nafikiri Ni Wakati Wa Kusaidia Na Ku Support Kwa Yoyote Aneitetea Nchi Hii Ama Awe Bungeni Ama Uraiani.....hali Ana Uchungu Na Nchi ...hata Leo Hii Karamagi Akiamka Na Kukubali Uozo Na Kuanza Kuulzia Pesa Za Epa .richmond Nk..kila Mmoja Atakuwa Upande Wake Si Muda Muafaka Kuwavunja Moyo Watu Kama Hawa....na Ndio Maana Tunahamu Kujua Nini Kinaendelea!!!!!!!!!
Kwako Mkuu
Prdeshe
 
Katumwa na Mungu!!!!!! Any proof?
KABISA ::::::::::::::::::::::::::::::::::::CHUNGULIA BUNGE, KAMA UKONJE
ULIZIA JAMA NA MARAFIKI WAKUPE ANACHOONGEA!!!!!!
ULAKUCHA
 
Predeshe!
Hilo la kutumwa na Mungu silikubali. Kwanza karukia hoja ya wapinzani ambao siku zote anawaponda. Pili, hataki kutoka CCM na amepitisha bajeti mbovu na iliyojaa ufisadi! Tatu alilolisema siyo geni na wala ulikuwa sio wakati wake. Nne she is not sincere at all ni opportunist. Tano............
 
Tunataka kumwamini lakini chama ndiyo shida!
Atapigana vipi na majambazi ya EPA AMBAO NI ccm yake?


hapo nakuunga mkono mkuu, Chama ni watu na watu wenyewe ndio hao mafisadi wanasafishana badala ya kuwaondoa sasa kama Kilango anasema yeye ni msafi na anapinga nao basi atoke humo lakini akiendelea kuwemo ccm hatutamwelewa. na siyo yeye tu hata kama kuna wengine wapo wanajona wasafi basi wajitoe tutawaona mashujaa,wanaweza kuamua kujiunga na chama kingine au wajipange kuna uhuru wa mgombea binafsi hatuwezi kuwatupa.
 
Wakuu,
Kwa maoni yangu ni kwamba, The great Anna Kilango na wengine wema wachache walioko ccm, waendelee kubaki huko ccm angalau kwa mwaka mmoja ili waendelee kupata data zile za ndani hatimaye ziwasaidie kuwapigania watanzania. Nimapema mno kujitenga nao kwani tutakosa mambo mengi yanayojili kwenye vikao vya siri vya ccm ya mafisadi.
 
Wakuu,
Kwa maoni yangu ni kwamba, The great Anna Kilango na wengine wema wachache walioko ccm, waendelee kubaki huko ccm angalau kwa mwaka mmoja ili waendelee kupata data zile za ndani hatimaye ziwasaidie kuwapigania watanzania. Nimapema mno kujitenga nao kwani tutakosa mambo mengi yanayojili kwenye vikao vya siri vya ccm ya mafisadi.

Taarifa zote za UFISADI NA USHAHIDI TAYARI VIKO NJE....OUT ON THE OPEN!
ACCOUNTABILITY IS NEXT na si eti apewe mwaka ndani ya ccm kutoa siri!
Siri gani hiyo isiyojulikana?
 
Mkuu wangu Mwafrika Wa Kike,


Heshima mbele mkuu, hapo tupo ukurasa mmoja, yaani kuchapa bakora tu, yeees piga fimbo! Si unajua Nyani usimuangalie usoni yaani kumkoma nyani giladi!

Kuna mtumzima hapa ameshikwa pabaya, chapa fimbo tu mpaka kieleweke

Nani kachapwa BAKORA NA KWANINI?
 
Kama wote watahama chama si upinzani nako si utahisha? Upinzani ndani ya chama nayo ni muhimu sana. Annah Aluta tuendelee.
 
Kama wote watahama chama si upinzani nako si utahisha? Upinzani ndani ya chama nayo ni muhimu sana. Annah Aluta tuendelee.

Sio ccm hii!
Wanamtandao watamruhusu?
Mambo ya bungeni huyasikii wewe?
Acha ushabiki wa vyama!
Ni wapi hapo nilipomwambia aende upinzani?
Kujitoa si kwenda upinzani..Read btn lines.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom