Mama aua mtoto kwa kumchapa viboko kichwani

Na ndiyo maana yatupasa tu-control hasira zetu wakati wowote na hasira ikiku-control haya ndiyo matokeo yake Mzazi unapiga tu mtoto hata uangalii ni wapi unapiga...Matokeo ya hasira huwa ni hasara kubwa...Apepe.
 
Umeongea point sana. Tujifunze kucontrol hasira zetu ila tujiepushe na mabalaa kama haya
 
Maisha magumu ndo unasababisha kifo kweli?

Hii hapana
Nasema hivi kwakuwa mtu mwenyi kipato kizuri hawezi kuua mtoto kwa sababu ya sh.8000, hii nip pocket money per day ya mtoto mwenye kipato kizuri ila kwa Mtanzania hohehahe hii ni pesa ya kula familia siku 3.
 
Huyo mama kwanza apimwe akili ndio adhabu ifuate, huwezi mpiga mtoto kichwani. Kama humtaki mtoto siange mpeleka kwa baba yake. R.I.P mtoto Bwana Wetu Yesu Kristo Atakufufua siku ya mwisho. Imeniuma sana wana jamvi.
 
Kwahiyo wenye vipato vizuri hawezi kuua au? Binadamu tupo tofauti ujue
 
Huyo mama kwanza apimwe akili ndio adhabu ifuate, huwezi mpiga mtoto kichwani. Kama humtaki mtoto siange mpeleka kwa baba yake. R.I.P mtoto Bwana Wetu Yesu Kristo Atakufufua siku ya mwisho. Imeniuma sana wana jamvi.
Ukatilii unaongeza tu.
 
Ukipiga kichwa angalau mashavu.., kibao kidogo na si sehem nyingine ya kichwa..... lakini kiboko matakoni na bila ghadhabu inatosha wandugu....
 
Back
Top Bottom