Mama afia lodge na mme wa mtu

Kuna jamaa yangu amenipa story kuwa walikuwa na kazi ya kiofisi wanaifanyia hotel moja kubwa sana Sinza/Ubungo karibu na mataa na walikuwa wanalala hapo (wanatokea mikoani). Jamaa anadai usiku kama saa 2 hivi wakati wamemaliza kazi wanarudi vyumbani wakakuta vilio vya wahudumu kwenye korido kuangalia kulikoni wakakuta kuna chumba jamaa mmoja (mme wa mtu kwani alikuwa na pete mkononi) yuko na demu amekufa chumbani na kilikuwa ni kiburudisho

Jamaa inasemekana alipiga simu reception baada ya kuona demu amekufa na alikuwa amemfunika shuka mpaka kichwani, uongozi wa hoteli ulipiga simu polisi wakaja na defender na kumchukua mwili na jamaa pia akachukuliwa. Unaambiwa jamaa alikuwa mdogo kama piriton hajui cha kufanya ila polisi walikuwa wanampa moyo kuwa kesi yake itategemea ripoti ya daktari ila jamaa alichukuliwa kuwekwa ndani mpaka ripoti itoke na waliondoka nae bila kumfunga pingu

Maswali yaliyokuwa kichwani kwangu ambayo nimejiuliza kuhusu hii story

Hivi inakuwaje mkeo akishapewa taarifa kuwa umefiwa na kimada hotelini na umewekwa ndani, je itakuwaje? nadhani jamaa anaweza akaombea akae tu ndani ni bora kuliko msala ambao unamsubiri home kwake ambao ni zaidi ya jela
 
Kuna jamaa yangu amenipa story kuwa walikuwa na kazi ya kiofisi wanaifanyia hotel moja kubwa sana Sinza/Ubungo karibu na mataa na walikuwa wanalala hapo (wanatokea mikoani). Jamaa anadai usiku kama saa 2 hivi wakati wamemaliza kazi wanarudi vyumbani wakakuta vilio vya wahudumu kwenye korido kuangalia kulikoni wakakuta kuna chumba jamaa mmoja (mme wa mtu kwani alikuwa na pete mkononi) yuko na demu amekufa chumbani na kilikuwa ni kiburudisho

Ninahisi jamaa hakujua vyema afaya ya mwanadada husika kabla hawajaanza kuchakachuana................
 
Hizi "kazi za nje" ( nje cup) bana zikiwa hazijakuletea madhara mtu unakuwa unaona raha sana madhara yakitokea kama hayo ndio full majuto
 
Ila mi nadhani ile ya mpemba iliyotokea miezi michache buguruni iliacha hoi mpemba na condom yake
 
jamaa alipimgisha kwata mama hadi mauti ikamkuta?!ha ha ha ha!


atakuwa alipiga ile staili ya AKANUNGURUSI
 
huyu ni tofauti na yule aliyejinyonga juzi hapa hapao hapo Rombo green view hotel?!!!!!
 
Kuna jamaa yangu amenipa story kuwa walikuwa na kazi ya kiofisi wanaifanyia hotel moja kubwa sana Sinza/Ubungo karibu na mataa na walikuwa wanalala hapo (wanatokea mikoani). Jamaa anadai usiku kama saa 2 hivi wakati wamemaliza kazi wanarudi vyumbani wakakuta vilio vya wahudumu kwenye korido kuangalia kulikoni wakakuta kuna chumba jamaa mmoja (mme wa mtu kwani alikuwa na pete mkononi) yuko na demu amekufa chumbani na kilikuwa ni kiburudisho

Kifo kimekuwa kiburudisho bongo? Basi iko kazi.

Amandla....
 
mke wa mtu ni sumu ahaa ahaaa usijaribu chombeza ahaaa haaa yatakuja yakukute ahaaa ahaaa usiyoyategemea
 
nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia rombo green view maeneo ya shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.

huuu upumbavu ndio maana nasema mapolisi wapuuzi sana
wanataka uchunguzi gani zaidi...wakati mama kafia kwenye starehe yake na raha zake
waakamchunguze mumewe alikosa nini mkewe akawa anagawa tunda huku tena kwa mfanywakazi uuuwiiiiiiiiiiii niemshindwa kuendelea jamani

yawezekana mshabiki wa arsenal akaumia maumivu ya moyo..
 
Nadhani ni masikitiko zaidi ya aibu....ila dah...

yaani unaweza ukapata uchizi, yaani unamuona mtu anajiishilia hivi hivi, cjui mtu ukimbie cjui ufanyaje kwa kweli...khaaa bado tu hamna uwoga na haya mambo? Mungu atunusuru....halafu hawa watafanyaje matuc hapo wakati wanajiiba, mbona pa wazi sana, watakuwa walitokea mbali hawa.
 
Back
Top Bottom