Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,092
- 4,545
Ameanzwa kushughulikiwa from all angles, vertically, perpendicularly, diagonally, side to side, head to toes and so forth.Mkuu, Kwani hapo ndipo kashfa ya Lugumi imeshughulikiwa? kwani kashfa ilikuw ani kutolipa kodi??? hii kwanza wengine ndo tunaisikia leo.
Sasa wewe ulitaka waanzie wapi. Tumeanza kwa kumfilisi kwanza kupitia TRA immediately na mengine yatafuata baadaye akiwa tayari hoi bin tabani. Kesi yake ya ku supply electronic devices kwenye jeshi la polisi itakapofika mahakamani hatakuwa na nguvu ya fedha ya kuvuruga kesi hiyo kama ambavyo mafisadi wengi hufanya. So we started with the right step.