Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,750
- 239,409
Hili andiko limenivunja nguvu kabisaaaa !Kwa mujibu wa Sura ya bajeti iliyowasilishwa na Waziri Mpango, serikali inatarajia kukusanya TZS Trilioni 15.1 kwa mwaka 2016/17. Kwa maana hii wastani wa kila mwezi utahitajika kuwa ni TZS 1.25 trilion kwa mwezi ili malengo husika yafikiwe. Ingawa mwaka mpya wa bajeti haujaanza, kwa kiwango hiki cha Trilioni moja kwa mwezi Aprili (chini kidogo tu ya kiwango alichoacha Kikwete) sio habari njema. Ndio maana ilbidi mfiche fiche.
So far bado ni past arrears coming through. Ni ngumu sana kufikia malengo husika chini ya serikali ambayo ipo busy destroying wealth.
Goli ni Wastani wa TZS 1.25 trilion kwa mwezi, nje ya hapo mmepiga nje ya Goli.
PS:
Msiishie kutangaza tu kilichokusanywa, elezeni wananchi, je kimetumiwaje? Tutasikia 50% or more imeenda kulipa madeni ya Serikali ya Kikwete, another big chunk imeenda kwenye posho na mishahara. Fedha za njugu ndio zimeenda kwenye miradi ya maendeleo.
CCM ni ile ile...