Makubwa: Anna Mghwira adai yeye bado ni mwenyekiti wa ACT Wazalendo na hajajiuzulu

Akihojiwa na Hashim wa Azam Tv, Mh. Anna Mgwilah amehoji kuwa kwenda kufanya kazi za serikali siyo kigezo cha kutokitumikia chama cha ACT. Akasema Mbona Lipumba alikwenda nje ya nchi na akaendelea kuwa mwenyekiti wa CUF, sembuse hapa Kilimanjaro.
She is quite shallow! analinganisha kwenda kwa Museveni na kwenda Kilimanjaro. CUF hakikuwa chama cha upinzani dhidi ya Museveni, lakini ACT ni wapinzani wa Magufuli katika siasa za TZ. Anakwenda kutekeleza sera za kufungia wapinzani, kuwasweka mahabusu, kuzuia mikutano, kuwapiga mabomu etc!
Kumbe kajibu hayo....kwa kwa kwa
mbona lipumba alikua huko kabla lipumba hajawa mwenyekiti wa Cuf wala kuwa mgombea wa Cuf..
alienda wakati wa chama kimoja...
kweli too shalow..
 
Ina maana kufanya consultation nje ya nchi kwa Lipumba ni sawa na kushika madaraka ndani ya nchi kwenye chama kingine? Angekaa kimya, atasababisha watu waanze kuhoji uwezo wake wa kuchambua mambo
Ndio maana nimeweka hapa, nimeaza kuhoji kichwa chake kama kina hadhi ya LLM in International Law????!
 
Bavicha kazi mnayo mwaka huu
tapatalk_1496747238390.jpeg
Mwenyekiti wa ACT akikabidhiwa kitendea kazi.
 
Wanawapa mshiko siunaona kazi ya mkuu wa wilaya arumeru anavyowanunua madiwani wetu.Keshanunua wawili.
Aisee nimestuka kuna mchezo CCM wanaucheza wa kununua watu. Hiki chama kama kimefikia hii hatua k inaelekea kufa.
 
Akihojiwa na Hashim wa Azam Tv, Mh. Anna Mghwira amehoji kuwa kwenda kufanya kazi za serikali siyo kigezo cha kutokitumikia chama cha ACT.

Akasema Mbona Lipumba alikwenda nje ya nchi na akaendelea kuwa mwenyekiti wa CUF, sembuse hapa Kilimanjaro.
---
She is quite shallow! analinganisha kwenda kwa Museveni na kwenda Kilimanjaro.

CUF hakikuwa chama cha upinzani dhidi ya Museveni, lakini ACT ni wapinzani wa Magufuli katika siasa za Tanzania.

Anakwenda kutekeleza sera za kufungia wapinzani, kuwasweka mahabusu, kuzuia mikutano, kuwapiga mabomu etc!
Kama hiyo Ndiyo reasoning yake, basi Cheo alichopewa kinamfaa kabisa.
 
Huyu mama amalizie kwa kuchukua kadi ya Chama.... Ili atekeleze majukumu bila kelele
 
Akihojiwa na Hashim wa Azam Tv, Mh. Anna Mghwira amehoji kuwa kwenda kufanya kazi za serikali siyo kigezo cha kutokitumikia chama cha ACT.

Akasema Mbona Lipumba alikwenda nje ya nchi na akaendelea kuwa mwenyekiti wa CUF, sembuse hapa Kilimanjaro.
---
She is quite shallow! analinganisha kwenda kwa Museveni na kwenda Kilimanjaro.

CUF hakikuwa chama cha upinzani dhidi ya Museveni, lakini ACT ni wapinzani wa Magufuli katika siasa za Tanzania.

Anakwenda kutekeleza sera za kufungia wapinzani, kuwasweka mahabusu, kuzuia mikutano, kuwapiga mabomu etc!
Nampa hongera sana! tutampima kwa utendaji wake hakuna binadamu aliye kamilika 'Anaanza na ukuu wa mkoa baadae uwaziri hadi Kuwa mkuu wa nchi 'U start small then grow big'
 
Back
Top Bottom