Makosa ya mwanaume yanayosababisha mke amsaliti

Tatizo linaloteka ni mtizamo wa ndoa walio nao wasichana wa siku hizi. Hili kwangu naliona kama jambo kubwa kuliko chochote. Siku hizi wasichana wako materialistic kwahiyo hata wakiingia kwenyw ndoa bado wanaona mume hakuwa choice kwasababu kilichowasukuma wakati wa kuolewa ilikuwa pesa. Baada ya kuzipata wanakumbuka aina ya kume waliyemtaka kimahaba. Kubali usikubali hili ni janga kubwa kwa nyakati hizi.
 
Hakuna sababu ya kumfanya mwanamke asaliti ndoa zaidi ya tabia yake mbovu. Kawaida ni kama mazoea, otherwise siku hizi ni ngumu sana kumpata mwanamke ambaye anajua maana ya ndoa.
Kwani mwanamke ni poyoyo au mashine? Mtasaidiwa sana tu majukumu mkishindwa kazi
 
Hamna kitu cha kipumbavu kama kujaribu kubadilisha tabia yako ambayo haivunji sheria za nchi,ili kumfanya mkeo,mmeo au mchumba wako asitoke kimapenzi na mtu mwingine.
Kama huwezi ku compromise it's obvious you are a not a relationship type, ubaki peke yako au ukaishi kisiwani. Tunahitajiana ndio maana kuna umuhimu wa kujirekebisha uweze kuishi na mwenzako for the common good.
Hivyo hivyo katika mahusiano kila mtu ametoka kwao amelelewa tofauti ila mnapokutana muishi pamoja kila mtu anatakiwa afanye mambo yatakayoboresha mahusiano yenu.
Eti huwezi kubadili tabia, point ya kitoto sio ya mtu mzima
 
Usaliti ni Tamaa tu
Yuda alikuwa na Yesu alipokuwa akifanya miujiza ila sababu ya tamaa ya pesa akamsaliti
 
Kuna sababu ya msingi pia ambayo ni familia ya mwanamke aliyotoka. Kama wazazi walikuwa na maadili vivyo hivyo hata mkeo atakuwa mwaminifu and vice versa is true
 
Tatizo linaloteka ni mtizamo wa ndoa walio nao wasichana wa siku hizi. Hili kwangu naliona kama jambo kubwa kuliko chochote. Siku hizi wasichana wako materialistic kwahiyo hata wakiingia kwenyw ndoa bado wanaona mume hakuwa choice kwasababu kilichowasukuma wakati wa kuolewa ilikuwa pesa. Baada ya kuzipata wanakumbuka aina ya kume waliyemtaka kimahaba. Kubali usikubali hili ni janga kubwa kwa nyakati hizi.
exactly mkuu, yule mama wa crdb anachukua ndege mara kibao tu kulifata dushe, nikimuuliza tatizo ni nini maama? Anadai anajilaumu kuolewa na mume aliyenae hajui kugegeda. Nampaga pooole
 
exactly mkuu, yule mama wa crdb anachukua ndege mara kibao tu kulifata dushe, nikimuuliza tatizo ni nini maama? Anadai anajilaumu kuolewa na mume aliyenae hajui kugegeda. Nampaga pooole
Mama yupi wa crdb?
 
Kuna sababu ya msingi pia ambayo ni familia ya mwanamke aliyotoka. Kama wazazi walikuwa na maadili vivyo hivyo hata mkeo atakuwa mwaminifu and vice versa is true
Hilo ni kweli lakini kwa hali ya sasa hivi hilo la kwamba msichana katoka familia ya maadili halina guarantee. Ila kwa kiasi fulani familia yenye maadali ni kama speed governer kwa wanaotaka kwenda isivyo kwa kuhofia nyumbani watamfikiria vibaya. Kwa familia isiyo na maadili mwanamke anaona lolote sawa.
 
Back
Top Bottom