Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Kama fidia anayodai Membe imekuuma kamlipie deni Musiba
 
Kwa hiyo gharama ya kumlipa ulitaka iwe Tsh ngapi?.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Membe siye aliyeamua alipwe hicho kiasi ni mahakama muwe mnafikiria kabla ya kuandika na msome pia
Uroho na tamaa za membe zinatokea wapi wakati siye aliyeamua
Shwain sukuma gaang
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema

Ubi jus ibi remedium​

Where there is a wrong, there is a remedy. The maxim states that if any wrong has been committed, the law provides a remedy. In simple terms, the law specifies a remedy for every wrong.

As parties rightly argued, general damages are awarded at the discretion of the court. However, such discretion must be exercised judiciously that is by giving reasons after consideration of evidence in record.

Two crucial factors in assessing the damages:

1. Applied a wrong principle of law (as taking into account some irrelevant factor or leaving out of account some relevant one);
2. Awarded amount which is so inordinately low or so inordinately high that it must be a wholly erroneous estimate of the damage

Swali kwako: Umesoma na kuona kuna makosa katika award ya hiyo figure?
 
Back
Top Bottom